Engilang'et Pre- and Primary School

Engilang'et Pre- and Primary School The Engilang'et Pre- and Primary School is a non-profit organization dedicated helping poor, orphan,

Founded by Anna Mollel in 2009, the Engilang'et Pre- and Primary School is a non-profit organization dedicated helping poor, orphan, disabled and children living with HIV in Arusha, Tanzania.

06/11/2022
Tambua kwamba *Mafanikio yetu* asilimia kubwa,Yamejificha katika tabia tunazo fanya *kila siku,* Ukiona mtu *amekuzidi* ...
22/09/2022

Tambua kwamba *Mafanikio yetu* asilimia kubwa,

Yamejificha katika tabia tunazo fanya *kila siku,*

Ukiona mtu *amekuzidi* kwenye jambo fulani,

Basi ujue kuna tabia ambazo *anazo* wewe hauna.

Hivyo basi tabia zifuatazo,

Zitakusaidia sana kuwa katika list ya *top 20%,*

Ya Watu walio fanikiwa katika *field Yako.*

🉑 Kuwa na *Malengo.*

Malengo ya muda mrefu pamoja na malengo madogo madogo.

Malengo ni k**a muongozo katika maisha,

Usipo kuwa na muongozo maisha yatakuongoza.

🉑 Kuwa mtu wa *matokeo* zaidi.

Vipi utakua mtu wa matokeo?

➡️ *Pangilia* siku yako,

➡️ Thamini *muda* kuliko kitu chochote.

➡️ Kuwa na *vipaumbele*

➡️ Andika *mikakati* yako ya kila Siku.

➡️ *Jihamasishe* mwenyewe kufanya kazi kwa bidii,

Usisubiri mtu akuhamasishe.

➡️ Fikiria kuhusu malengo yako kila *unapo amka* na pindi unapo *enda kulala.*

🉑 Fikiria zaidi kuhusu *Watu,*

Kila unapo amka fikiria ni *thamani gani* ambayo,

Utapeleka kwa Watu au *wateja wako,*

Fikiria zaidi katika kutatua *matatizo* Yaliyopo katika jamii,

Mafanikio yapo katika *kutatua matatizo* ya watu.

🉑 Kuwa *Mwaminifu.*

Kuwa mwaminifu kwa *wateja wako* na *Watu* wanao kuzunguka kwa ujumla.

🉑 Kuwa na *Nidham binafsi,*

Kwa ufupi nidham
binafsi,

Ni Uwezo wa kufanya kile unacho paswa kufanya bila kusimamiwa na mtu,

Haijalishi *unakipenda* kitu hicho au *haukipendi,*

Kila biashara ina nidham binafsi Zake,

Inaweza kuwa *kujisomea* , *kujitangaza* n.k.
*

09/09/2022
21/01/2020

Anna Mollel ist eine von acht großartigen Befürwortern von Kinderrechten, die zum 'WCP Decade Child Rights Hero 2020' ernannt wurden.
Anna wird für ihren unermüdlichen Kampf für behinderte Massai-Kinder und andere in Armut lebende Kinder in ländlichen Gegenden im Norden Tansanias nominiert.

https://worldschildrensprize.org/annamollel

Address

Sanawari Juu
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Engilang'et Pre- and Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share