Deaf and Community Progress Organization

Deaf and Community  Progress  Organization DCPO ni Taasisi inayojishughulikia maendeleo ya jamii ya watu wenye ulemavu Viziwi Tz Bara.

wanaharakati na wadau mbalimbali wameudhuria katika maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani  yaliyofanyika 2/1...
15/12/2023

wanaharakati na wadau mbalimbali wameudhuria katika maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani yaliyofanyika 2/12/2023 jijini dodoma, mji wa kiserikali yenye kauli mbiu TUUNGANE KUWEZESHA WATU WENYE ULEMAVU ILI KUFIKIA MALENGO ENDELEVU ,mgeni rasmi akiwa ni , waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania Mh,Mb Kassim Majaliwa Majaliwa

UNICEF Segal Family Foundation UNDP ,DCPO ,WHO.

12/01/2023
Saratani ya  shingo ya kizazi ni kikwazo katika kufikia  afya bora ya uzazi.   inalenga kumlinda mwanamke na msichana dh...
29/08/2022

Saratani ya shingo ya kizazi ni kikwazo katika kufikia afya bora ya uzazi.

inalenga kumlinda mwanamke na msichana dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi.

Ungana nasi kuitaka ku 👉🏼twb.nz/tzpamoja4eacsrhbill

Watu wenye ulemavu k**a watu wengine, wanahaki ya kupata taarifa sahihi  na huduma ya afya ya uzazi kutoka  kwa watoa hu...
26/08/2022

Watu wenye ulemavu k**a watu wengine, wanahaki ya kupata taarifa sahihi na huduma ya afya ya uzazi kutoka kwa watoa huduma waliopata mafunzo kikamilifu.

Ungana nasi kuitaka ku 👉🏼twibbonize.com/tzpamoja4eacsrhbill/

Finally the meeting has been held and ended with great success, this meeting to bring together the young directors was v...
22/07/2022

Finally the meeting has been held and ended with great success, this meeting to bring together the young directors was very good, how will young people be able to serve their young people to be the product of tomorrow, we thank the ICESA organization for very good preparations.

11/12/2021

Welcome to VISIT TANZANIA

10/12/2021

Nini maana ya HAKI ZA BINADAMU KWA VIZIWI TANZANIA?

What is meaning of HUMAN RIGHTS FOR THE DEAF IN TANZANIA?

International Human Rights Day
10 December.

09/12/2021

DCPO Organization,we join the President of the Republic of Tanzania, Hon. Samia Hassan With All Tanzanians Celebrating 60 Years Of Tanganyika Independence ..

Shirika La Dcpo Na Wafanyakazi Wa dcpo,tunaungana Na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania,Mhe. Samia Hassan Pamoja Na Watanzania Wote Kuadhimisha Miaka 60ya Uhuru Wa Tanganyika.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deaf and Community Progress Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Deaf and Community Progress Organization:

Shortcuts

Share