Griffon College

Griffon College Tunatoa kozi za mwaka mmoja na za miezi 6

Hii ni nafasi ya kipekee tusikubali itupite.
15/11/2022

Hii ni nafasi ya kipekee tusikubali itupite.

Wataalam wa hotel na tour operation Arusha, usihangaike sanaa kutafuta wabobezi wa kufundisha masomo ya hotel na Tour op...
29/05/2022

Wataalam wa hotel na tour operation Arusha, usihangaike sanaa kutafuta wabobezi wa kufundisha masomo ya hotel na Tour operation.
Griffon College ndo mpango mzima.
Njoo tusemezane, njoo tujifunze sote.
Koz za miezi 6 na za mwaka mmoja.
1.TOUR OPERATION
2. HOTEL OPERATION
3. ENGLISH COURSE
4. ENTREPRENEURSHIP

Elimu bora  huanzia kwa wawezeshaji . Muhula unaanza rasmi tr 25 April 2022 kukiwa na punguzo la gharama ya Ada kwa asil...
09/04/2022

Elimu bora huanzia kwa wawezeshaji . Muhula unaanza rasmi tr 25 April 2022 kukiwa na punguzo la gharama ya Ada kwa asilimia 20 kwa kila mwezi nadani ya mwaka mmoja, hii ni ofa ya pasaka na mwezi mtukufu.
Masomo yenye punguzo la ada ni
1. Tour Operation
2. Hotel Operation.
Ofa hii itahusu watu 10 tu watakaoweka booking kabla ya tr 25.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi 0683898008/ 0752248032
Tupo Arusha mjini.

Muhula wa April 2022 unanza tr 19.Njoo tuanze muhula upate elimu ya ujuzi. Ada ni nafuu sn na malipo ni kwa awamu 4. Tun...
03/04/2022

Muhula wa April 2022 unanza tr 19.
Njoo tuanze muhula upate elimu ya ujuzi. Ada ni nafuu sn na malipo ni kwa awamu 4. Tunatoa kozi zifuatazo:
1. Hotel Management
2. Tour operation
3. Tour guide4. English course
Wasiliana nasi kwa:
0752 248032
0683 898008
0628 554565
Tupo Arusha mjini.

TUNAENDELEA NA MASOMO NA USAJILI. KARIBU TUJIFUNZE SOTE kozi za miezi 3, 6 na mwaka mmoja zipo. Tunashirikiana na hotel ...
26/02/2022

TUNAENDELEA NA MASOMO NA USAJILI. KARIBU TUJIFUNZE SOTE kozi za miezi 3, 6 na mwaka mmoja zipo. Tunashirikiana na hotel za kitalii Zanzibar na Tanzania bara kwa mazoezi ya vitendo. Ajira kwa watakaofaulu vzi ni wazi kbsa. Kazi kwako mtanzania.

MUHULA 2022 UMEANZA NA OFA.  MWISHO TR 15FEBRUARY 2022.TUPO ARUSHA MJINI.FIKA OFFICINI AU WASILIANA NASI 0683898008
23/01/2022

MUHULA 2022 UMEANZA NA OFA. MWISHO TR 15FEBRUARY 2022.
TUPO ARUSHA MJINI.
FIKA OFFICINI AU WASILIANA NASI 0683898008

21/01/2022

Muhula wa masomo 2022 umeshaanza karibuni sana

01/01/2022

HAPPY NEW YEAR 2022

Muhula wa masomo January 10, 2022.
01/01/2022

Muhula wa masomo January 10, 2022.

12/12/2021
Ziara ya mafunzo ya vijana wetu katika hotel za kitalii jjini Arusha tr 29 oct 202.Mlete ndg jamaa au mwanao aje ajifunz...
30/10/2021

Ziara ya mafunzo ya vijana wetu katika hotel za kitalii jjini Arusha tr 29 oct 202.
Mlete ndg jamaa au mwanao aje ajifunze.
1. Hotel operation
2. Tour Guide
3. Tour Operation
4. Entrepreneurship.
Wasiliana nasi kwa 0683 898 008

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255752248032

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Griffon College posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Griffon College:

Share

Category