Bright DREAM Schools

Bright DREAM Schools TUNATOA NAFASI ZA MASOMO K**A IFUATAVYO
1.Day Care Centre
2. Nursery School Swahili and English
3.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ *SIMEO HOLDINGS COMPANY LTD*  *INAWATAKIA WATANZANIA UCHAGUZI MWEMA!* ๐Ÿ—ณ๏ธKatika kipindi hiki muhimu kwa Taifa letu, tu...
29/10/2025

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ *SIMEO HOLDINGS COMPANY LTD*
*INAWATAKIA WATANZANIA UCHAGUZI MWEMA!* ๐Ÿ—ณ๏ธ

Katika kipindi hiki muhimu kwa Taifa letu, tunahamasisha Watanzania wote kushiriki uchaguzi kwa amani, utulivu na uzalendo. Tuchague kwa busara viongozi watakaoliletea taifa maendeleo na mshikamano.

*Tanzania ni yetu sote โ€” Tuilinde, Tuiheshimu, Tuiijenge kwa Umoja.*

* * ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

ASANTE NA HONGERA KWA MWAKA 2024.Rafiki,Asante na hongera kwa mwaka 2024 ambao tulikuwa nao.Kwa vyovyote vile, uhai ulio...
01/01/2025

ASANTE NA HONGERA KWA MWAKA 2024.

Rafiki,
Asante na hongera kwa mwaka 2024 ambao tulikuwa nao.

Kwa vyovyote vile, uhai ulionao mpaka leo ni ushindi mkubwa.

Kuna wengi tulianza nao mwaka ila hatukumaliza nao.
Siyo kwa sababu tunastahili sana, bali kwa sababu bado tuna kazi kubwa ya kufanya.

Mwaka 2025, nenda kaifanye kazi hiyo kwa uhakika.Huku ukimtanguliza Mungu katika kila hatua ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Tunaahidi kuendelea kukupatia huduma bora zaidi mwaka huu

Karibu sana.

HAPPY NEW YEAR

๐Ÿซต๐Ÿพ NI WEWE, ASANTE SANA.Rafiki,Timu ya BRIGHT DREAM ACADEMY tunakushukuru sana wewe kwa kuwa pamoja nasi mwaka 2024.Wewe...
24/12/2024

๐Ÿซต๐Ÿพ NI WEWE, ASANTE SANA.

Rafiki,
Timu ya BRIGHT DREAM ACADEMY tunakushukuru sana wewe kwa kuwa pamoja nasi mwaka 2024.

Wewe umekuwa sehemu sana ya jamii hii ya wadau na wapenda Elimu Bora.

Tunakuahidi kukupatia huduma bora zaidi mwaka 2025 kupitia shule zetu za Bright DREAM Schools.

Tunakutakia heri ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

Hongera sana kwa kutuchagua na kutuamini.
MUNGU AKUBARIKI SANA ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Karibu tuendelee kuwa pamoja.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

15/09/2024
*Shule ni ya mchanganyiko wasichana na wavulana.* *โœ๏ธBWENI (BOARDING) Tsh. 200,000/=* kwa miezi yote mitatu  (3)โœ๏ธ *KUTW...
15/09/2024

*Shule ni ya mchanganyiko wasichana na wavulana.*
*โœ๏ธBWENI (BOARDING) Tsh. 200,000/=* kwa miezi yote mitatu (3)
โœ๏ธ *KUTWA (DAY) Tsh. 60,000/=* kwa miezi yote mitatu (3)

*_Tunapatikana KISONGO - WAYA - ARUSHA._*
*Mawasiliano:-*
0745 - 656 515
0742 - 711 141

Mtoto wako atajifunza, kukua, na kufurahia kila siku. Shule yetu inatoa mazingira ya upendo na usaidizi ambapo urafiki u...
11/09/2024

Mtoto wako atajifunza, kukua, na kufurahia kila siku. Shule yetu inatoa mazingira ya upendo na usaidizi ambapo urafiki unajengwa na ndoto zinafikiwa. Jiunge nasi leo na uone mtoto wako akifanikiwa!
-------------------------
At Bright Dream Academy, your child will learn, grow, and have fun every day. Our school provides a loving and supportive environment where friendships are made and dreams take flight. Join us today and watch your child thrive!

10/04/2024

Mlete mwanao BRIGHT DREAM ACADEMY apate uadilifu na Elimu yenye ubora wa hali ya juu zaidi kwa maendeleo endelevu kwa ajili ya maisha yake ya baadae.
Huduma zetu ni Bora zaidi na gharama zetu ni nafuu Sana na unaweza kulipa kidogo kidogo kwa awamu nne.
BRIGHT DREAM ACADEMY IS YOUR FIRST & BEST CHOICE FOR YOUR CHILD'S DEVELOPMENTโœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™

Address

Kisongo
Arusha

Telephone

+255745656515

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bright DREAM Schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bright DREAM Schools:

Shortcuts

Share

Category