Themi Secondary School

Themi Secondary School Shule ya Sekondari iliyopo kata ya Themi, Arusha

Idara ya special mwaka Jana mlifanya vizuri Kiasi Cha idara yenu kupewa mtaji na shirika la  OSNET, kwa ajili ya kilimo ...
27/03/2026

Idara ya special mwaka Jana mlifanya vizuri Kiasi Cha idara yenu kupewa mtaji na shirika la OSNET, kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga pamoja na utengenezaji wa sabuni ambazo shule na wadau wengine wananunua kwa matumizi mbalimbali.
Tunashukuru sana Shirika la OSNET kwa mchango wao katika shule yetu

Wanafunzi wetu wakiendelea kujisomea kwenye maabara ya Computer with full internet
20/03/2026

Wanafunzi wetu wakiendelea kujisomea kwenye maabara ya Computer with full internet

Matokeo ya mchezo wetu dhidi ya Kaloleni Secondary.Tumeshika nafasi ya pili kati ya timu Nne za KANDA C. Hivyo tumeshind...
27/02/2026

Matokeo ya mchezo wetu dhidi ya Kaloleni Secondary.
Tumeshika nafasi ya pili kati ya timu Nne za KANDA C. Hivyo tumeshindwa kusonga mbele hatua inayofuata.
Tutajipanga upya kwa ajili ya mashindano mengine.

 Timu yetu ilikua dimbani leo dhidi ya Felix Mrema Sec. Tumeibuka washindi.KITUO KINACHOFUATAπŸ†š Arusha SecondaryπŸ“… Jumatan...
23/02/2026


Timu yetu ilikua dimbani leo dhidi ya Felix Mrema Sec. Tumeibuka washindi.

KITUO KINACHOFUATA
πŸ†š Arusha Secondary
πŸ“… Jumatano 25 Feb 2026
🏟️ Uwanja wa Arusha Sec.
⏲️ Saa 9 Alasiri

Matokeo ya Upimaji Kidato cha II – 2025 πŸ“Šβœ¨Juhudi, nidhamu na mshikamano vinaendelea kuzaa matunda Themi Sekondari. Honge...
17/01/2026

Matokeo ya Upimaji Kidato cha II – 2025 πŸ“Šβœ¨
Juhudi, nidhamu na mshikamano vinaendelea kuzaa matunda Themi Sekondari. Hongera wanafunzi na walimu wetu πŸ‘πŸŽ“


πŸ“šπŸ’» THEMI SEKONDARI | DIGITAL TECHNOLOGY SUPPORTShule ya Themi Sekondari imepokea msaada muhimu kutoka kwa FINNISH SPECIA...
17/01/2026

πŸ“šπŸ’» THEMI SEKONDARI | DIGITAL TECHNOLOGY SUPPORT
Shule ya Themi Sekondari imepokea msaada muhimu kutoka kwa FINNISH SPECIAL EDUCATION IN AFRICA () katika awamu mbili:
πŸ”Ή Awamu ya Kwanza:
βœ… Computer 14 za wanafunzi
βœ… Computer 5 za walimu
βœ… Mafunzo ya walimu
βœ… Mtambo 1 wa Solar
βœ… Printer 1
βœ…Meza na Viti
βœ… Movable Whiteboard ndogo 1
βœ… Projector 2
βœ… Internet Connection
πŸ”Ή Awamu ya Pili:
βœ… Computer 15 za wanafunzi
βœ… Mouse 29
βœ… Movable Whiteboard kubwa 2
βœ… Projector 1
βœ… Tablet 6
πŸ™ Tunashukuru sana kwa mchango huu unaoimarisha elimu ya TEHAMA na ujumuishi shuleni kwetu.




13/10/2025
Siku ya Ijumaa, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, ilitangaza majina ya wanafunzi wa kidato cha Nne 2024 waliochaguliwa kuendelea...
07/06/2025

Siku ya Ijumaa, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, ilitangaza majina ya wanafunzi wa kidato cha Nne 2024 waliochaguliwa kuendelea na masomo ya Kidato cha tano na Elimu ya vyuo vya kati na Ufundi kwa mwaka 2025.

Wanafunzi 123 kutoka shule ya Sekondari Themi ni miongoni mwa waliochaguliwa kuendelea na masomo: ambapo wanafunzi 94 watajiunga Kidato cha Tano, huku 29 wao wamechaguliwa kujiunga na Elimu ya vyuo.

Uongozi wa shule ya Sekondari Themi unawatakia mafanikio tele katika masomo yao.

Kuona majina bonyeza πŸ”— link kwenye bio yetu.

Tarehe 7 March siku ya Ijumaa wafanyakazi wa Tanesco Mkoa wa Arusha waliazimisha siku ya wanawake Kwa kuja kupanda miti ...
09/03/2025

Tarehe 7 March siku ya Ijumaa wafanyakazi wa Tanesco Mkoa wa Arusha waliazimisha siku ya wanawake Kwa kuja kupanda miti ya matunda Shule ya Sekondari Themi, waliambatana na Mh Meya wa Jiji la Arusha na kiongozi wao Engineer Zawadi, aidha walisaidia gharama za chakula Kwa wanafunzi takribani 35, tunawashukuru Sana

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024.
23/01/2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024.

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Christmas πŸŽ„πŸŽ„
25/12/2024

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Christmas πŸŽ„πŸŽ„

Address

Themi
Arusha

Telephone

+255624010962

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Themi Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category