Nemuviwa

Nemuviwa Neno la Mungu kwa Vijana na Watoto

06/12/2022
06/12/2022

Mwangalizi mkuu wa NEMUVIWA akigawa Vitabu vya kufundishia Vijana na Watoto Mkoani Lindi Nchini Tanzania.

Hili ni tukio la Waalimu wa Vijana na Watoto kutoka Madhehebu mbalimbali Mkoani Arusha Jumamosi tarehe 03/12/2022 wakiwa...
06/12/2022

Hili ni tukio la Waalimu wa Vijana na Watoto kutoka Madhehebu mbalimbali Mkoani Arusha Jumamosi tarehe 03/12/2022 wakiwa wanagaiwa vitabu vya kufundishia Watoto Makanisani, Shuleni, Mtaani, kwenye vituo vya kulea Watoto yatima na maeneo mengine walipo Watoto baada ya Semina yao ya siku moja iliyoendeshwa na Viongozi wa Huduma ya NEMUVIWA Awaichi Sahara, Rev. Charles Mrema, Rev. Jerome Mallya na Mwl Elibariki Mollel kwenye Kanisa la TAG Calvary Temple Kilombero Arusha Mjini.

NEMUVIWA . huduma ya Neno la Mungu kwa Vijana na Watoto
03/12/2022

NEMUVIWA . huduma ya Neno la Mungu kwa Vijana na Watoto

Address

Arusha
ARUSHA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nemuviwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Nemuviwa:

Shortcuts

Share