22/07/2022
[WAFUGAJI WA KUKU MPO!] Habari yenye kusisimua kwako. Ufugaji wa kuku bila gharama kwenye magonjwa.
Umekuwa na ndoto kubwa sana ya kufuga kuku kwa uhakika? Lakini umekosa mbinu za kudhibiti magonjwa? Basi leo ni SIKU KUU yako.
Nasema hivyo kwa sababu Ahazi Ngessy mbobezi wa ufugaji wa kuku kibiashara, kwa zaidi ya miaka 8 amekuwa akisaidia wafugaji wenye ndoto ya kufuga kibiashara.
Na wafugaji wenye ndoto ya kuwasaidia wafugaji wengine kupunguza vifo katika ufugaji. Sasa anakuletea mafunzo ya siku 5.
:
Imani Mtyeka ni mkazi wa Murieth-Arusha Mwanafunzi wetu 2017/2018,
“Kabla sijajua siri iliyofichwa kwenye vitunguu swaumu, tangawizi, alovera, mkaa n.k nilikuwa mtumwa wa maduka ya dawa.
Ilikuwa takribani kila wiki ni mimi na duka, ikilinganishwa na sasa k**a nikiulizwa kuwa ni lini nimekwenda kununua dawa kwa kweli nitakuambia sikumbuki (kwa muda wa zaidi ya mwaka sasa). Kinachonipeleka dukani ni chanjo tu ambazo hizo nawajibika kulingana na ratiba na umri wa kuku wangu.
Zaidi magonjwa ambayo yamekuwa gumzo kwangu, na yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara ni; Mafua ya kuku, magonjwa yote ya mabadiliko ya vinyesi (Kuhara damu, homa ya matumbo na kipindupindu), Ugonjwa wa Ndui, Ugonjwa wa kuvaa makoti, na Minyoo.
Haya yote nimeyamaliza kupitia mafunzo ya TIBA MBADALA ya mwl Ahazi Ngessy.”
K**a unataka kuwa miongoni mwa wanafunzi watakao ingia kujifunza bila gharama bofya hapa sasa hivi KUBOFYA HAPA: https://chat.whatsapp.com/Hic9kkpTGS84DiaAVo6WjT
kitu cha kufurahisha ni kwamba huhitaji kuwa na mtaji mkubwa sana kuweza kumudu gharama za kuendesha mradi wako. Unachotakiwa kuwa nacho ni UTAYARI wako wa kutimiza ndoto zako.
Katika darasa hili utafaidika na mambo yafuatayo:
Utajifunza mbinu za kudhibiti magonjwa sugu ya kuku kwa kutumia tiba mbadala zinazopatikana katika mazingira yako.
Utajifunza dalili za magonjwa sugu yote yanayo ua kuku banda lote.
Utapatiwa mafunzo bure ya namna ya kuendesha biashara yako ya mradi wa kuku.
Utauunganishwa kwenye timu ya wafugaji makini walio faidika na elimu hii.
K**a kweli unadhani unahitaji kupata hizo faida kupitia kuwa mwanafunzi wetu, bofya hapa kabla nafasi hizo hazija jaa!
SASA HIVI BONYEZA LINK HII: https://chat.whatsapp.com/Hic9kkpTGS84DiaAVo6WjT
ONYO!: Hatuta pokea mtu yeyote kuwa mwanafunzi baada ya nafasi hizi kujaa. K**a upo serious na unataka kweli kubadilisha maisha yako kupitia wazo la mradi wa kuku fuata maelekezo hayo.