Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School

Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School Mwalimu Anna English Medium Pre&Primary school, established with the main aim of providing better ed

18/12/2023

Mwaka mpya wa masomo wa 2024. Ndio unaanza hivi karibuni.

Je, una mtoto wa miaka mitatu na haujui wapi umpeleke. Suluhisho ni Mwalimu Anna Academy.

Pia zipo nafasi kwa madarasa yote za kuhamia na pia kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza.

Karibu tumpatie mwanao elimu bora na sio kinyume chake. Tumejipanga kutoa elimu bora kwa mtoto wako.

Karibu mwaka mpya wa masomo 2024.

Asante sana mzee ni matumaini yetu kuwa ushauri wako utafanyiwa kazi na waTanzania wengi. Viva Mwalimu Anna
18/12/2023

Asante sana mzee ni matumaini yetu kuwa ushauri wako utafanyiwa kazi na waTanzania wengi. Viva Mwalimu Anna

Tuko live, na Dogodogo graduation.Sanaa na vipaji havijaachwa. K**a mwanao bado hayupo Mwl Anna hujachelewa milango iko ...
11/11/2023

Tuko live, na Dogodogo graduation.
Sanaa na vipaji havijaachwa. K**a mwanao bado hayupo Mwl Anna hujachelewa milango iko wazi kwa ajili ya mwaka 2024.

Mambo yanaendelea kwa namna hii, kwa wewe ambaye bado mtoto wako hujamuandikisha Mwl Anna. Amua sasa
11/11/2023

Mambo yanaendelea kwa namna hii, kwa wewe ambaye bado mtoto wako hujamuandikisha Mwl Anna. Amua sasa

11/11/2023

Mambo yako namna hii

16th Dogodogo graduation
11/11/2023

16th Dogodogo graduation

Matukio yalikuwa mengi mno ya kujifunza masial mbalimbali ya historia ya nchi yetu na maendeleo yaliyofikiwa kwa wakati ...
03/11/2023

Matukio yalikuwa mengi mno ya kujifunza masial mbalimbali ya historia ya nchi yetu na maendeleo yaliyofikiwa kwa wakati huu.
Kwakifupi tunatoa elimu darasani na kuiweka kimagendo zaidi ya nadharia.

Hongera kwa wazazi na walezi waliofanikisha hili. Hakika hamjakosea kutupatia watoto wenu kwa kuwaandaa na elimu yao ya msingi.

Zinjibar tumeivamia k**a hivi
30/10/2023

Zinjibar tumeivamia k**a hivi

We're  in Zinjibar at the moment. Tunaendelea na matukio tukiwa huku Unguja, k**a ilivyo kawaida kuiweka miili sawa kabl...
30/10/2023

We're in Zinjibar at the moment. Tunaendelea na matukio tukiwa huku Unguja, k**a ilivyo kawaida kuiweka miili sawa kabla ya ziara rasmi ya kimasomo

On the way to Zanzibar study tour.Tutawasimulia mambo ya huko yoote
30/10/2023

On the way to Zanzibar study tour.
Tutawasimulia mambo ya huko yoote

Happy Nyerere day!Mwalimu Anna Schools wishes you the best commemotion of the father of our Nation.
14/10/2023

Happy Nyerere day!

Mwalimu Anna Schools wishes you the best commemotion of the father of our Nation.

In God we trust. Hawa hapa wakipatiwa neno kutoka kwa wazazi kabla ya kukaa kwenye mtihani wao wa kumalizia elimu ya msi...
09/09/2023

In God we trust.
Hawa hapa wakipatiwa neno kutoka kwa wazazi kabla ya kukaa kwenye mtihani wao wa kumalizia elimu ya msingi pale tarehe 13 na 14 mwezi huu.

Address

Mto Wa Mbu
Arusha

Telephone

+255753827506

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category