Shida sio adui yako sikuzote, wakati mwingine ni mwalimu anayekufumbua macho.
Juhaifa Makaka
Quran is life Quran is fun!
Eid Mubarak ⭐️
Siku ya ARAFAH ni nafasi yako ya kipekee kuumaliza mwaka 1447 ukiwa na baraka, msamaha na rehma za Allah.
K**a Allah alikuruzuku ukiwa tumboni mwa mama yako mahali ambapo hukuwa na nguvu, mbinu, wala akili ya kutafuta.. unadhani atakusahau leo ukiwa na ulimi wa kuomba na mikono ya kufanya kazi?
Hofu ya rizki ni upungufu wa imaan. Tulia, fanya juhudi, na mtegemee Yule anayewalisha ndege bila kuwa na miadi ya Kazi wala maghala ya chakula.
“Enyi mlio amini! Nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?”
13/04/2026
Hongera sana rafiki yangu! Ni furaha kubwa kushuhudia ukikamilisha sehem kubwa na nzuri katika maisha yako. Allah aibariki ndoa yenu, awajaalie amani, upendo wa dhati, na vizazi vyema.
06/04/2026
Picha ya pamoja ya viongozi na wageni waalikwa wakati wa hafla maalum iliyoandaliwa na Ubalozi wa Ufalme wa Saudi Arabia jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hili linaakisi muendelezo wa ushirikiano na uhusiano mzuri uliopo kati ya mataifa haya mawili.
05/04/2026
من أُوتيَ القرآنَ فرأى أن أحدًا أُوتيَ من الدنيا أفضلَ مما أُوتيَ فقد صغَّرَ عظيمًا وعظَّم صغيرًا.
“Yeyote aliye pewa Qur’an, kisha akaona kuwa kuna mtu amepewa vitu vya dunia vilivyo bora kuliko alivyopewa yeye, basi kwa hakika amekidogesha kilicho kikubwa, na amekikuza kilicho kidogo.”
02/04/2026
Alhamdulillah.
Ilikua ni furaha kuwa pamoja na Shekh kutokea Nairobi Kenya 🇰🇪 ambae yupo Tanzania kwa ziara ya Da’wah iliyo anza Dar Es Salaam siku ya Jumatatu na inatarajiwa kukamilika tarehe 6 jijini Mwanza.
Allah ambariki kwa Juhudi zake, na amuongoze katika safari yake hii.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
King Saud University
Riyadh