Cele60 Professional Trainer

Cele60 Professional Trainer Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cele60 Professional Trainer, Education, Jeddah.

28/07/2024
Nawatakia Asubuhi Njema wapendwa wote Katika Bwana
01/02/2022

Nawatakia Asubuhi Njema wapendwa wote Katika Bwana

2022 A Miltary Face πŸ˜” Hapa Kazi Tu
05/01/2022

2022 A Miltary Face πŸ˜” Hapa Kazi Tu

Nyie ndiyo Tunu na Faraja Niliyo Tunukiwa Na Mwenyezi Mungu Nawapenda sana Wanangu naipenda sana My Lovely Family πŸ‘ͺ Mwen...
05/01/2022

Nyie ndiyo Tunu na Faraja Niliyo Tunukiwa Na Mwenyezi Mungu Nawapenda sana Wanangu naipenda sana My Lovely Family πŸ‘ͺ Mwenye Azidi Kuwa Linda na Husda za wanadamu Na niwatakie 2022 Ukawe Mwaka wa Ufaulu kwenu Nyote na Awajalie Afya Tele, Dady Love 😍 πŸ₯° 😘 You So Much

Thanks God Kwa Kuniepusha na Yote niliyokutana nayo 2021 na Thanks kwa Kunipatia Iman Tena kwa 2022, Yasemwayo Juu yangu...
05/01/2022

Thanks God Kwa Kuniepusha na Yote niliyokutana nayo 2021 na Thanks kwa Kunipatia Iman Tena kwa 2022, Yasemwayo Juu yangu Ni Mengi Sana ila Namshukuru Mungu sikujaliwa Roho ya Majibizano zaidi Kujenga Maisha yangu, Tuzidi Kumuomba Mungu Atupe Utii, Upendo na Kuthaminiana

11/11/2021

Maandalizi ya weekend

Tuliipenda wenyewe
26/09/2021

Tuliipenda wenyewe

22/08/2021

Your All Most Welcome to share and help each Other in Drilling and Mining Equipment Skills

30/06/2021

Address

Jeddah

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cele60 Professional Trainer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category