23/04/2022
assalam alaikm nduguzangu wa islam ninaswali ambolo hua najiuliza kwuyule ambae alie ingia dini akaslim inaezekana ukawa muislam mengi hua tunaenda kutafuta life maisha swali langu je mufanyakazi wandani amepata kazi yamapishi tena anao watumikia siwa islam namukumbuke kunachakula hawo wasio waislam wanakula siwa islam kukula hio chakula nihalamu je? Nihalam kuwapikia ao mtu waeza kufanya je? Naomba ikiwa wawe ni muislam naomba musada naushauli wenu