Madrassa saliquina 2020

Madrassa saliquina  2020 BACAR ABEDE DADE BALE

02/05/2026
20/02/2026

A MORTE

Queridos irmãos, é uma bênção viver, e devemos valorizar cada dia. Porém não podemos esquecer que a vida é passageira: um dia a morte virá e nos arrebatará. Quando isso acontecer, seremos lembrados por um tempo — as pessoas chorarão e sofrerão com nossa partida —, mas com o passar dos dias e dos meses a memória vai-se apagando e, infelizmente, muitos acabarão por nos esquecer.

Por isso é tão importante aproveitar o tempo que nos foi dado para fazer o bem. Pratiquem a bondade, ajudem o próximo, semeiem amor e obras que edificam. Assim, quando partirmos, haverá boas lembranças e testemunhos do que fizemos, e algumas pessoas poderão guardar essas recordações com carinho.

Acima de tudo, entreguem a vida nas mãos de Allah, para que não percamos a vida eterna. A verdade é que todos nós somos mortais; ninguém pode adivinhar o dia nem a hora em que a morte chegará. Diante dessa realidade, devemos viver com propósito, preparados e reconciliados com Deus, lembrando sempre que, de fato, somos todos futuros cadáveres — e que essa certeza nos chama a viver com sabedoria e fé.

22/02/2025

Allaahuma rabba haadhihid-daawatit-taamma. Wasswalaatil-qaaimah. Ati Muhammadal-wasiilata walfadhiilat Wab-’ath-hu
maqaaman mahmuudanil-ladhii wa’ad-tahu.Innaka laa tukhliful miiaad.

21/02/2025

Kwa mujibu wa Hadith ya Ibn Umar (r.a) tuliyoirejea mwanzoni, kusimamisha swala ni nguzo ya pili ya nguzo za Uislamu. Katika kuonyesha umuhimu wa kusimamisha nguzo hii Mtume (s.a.w) a me sem a:

“Sw ala ndio nguzo kubw a ya Dini (Uislamu) mwenye kusimamisha swala amesimamisha dini (Uislamu) na mwenye kuiacha swala amevunja Dini .” (Uislamu)”
Katika Hadithi nyingine, amesimulia Jabir (r.a) kuwa Mtume wa Allah amesema:

“Tofauti yetu sisi (Waislamu) na ukafiri ni kuacha swala”. (Muslim) Pia Mtume (s.a.w) amesema:
“Tofauti iliyopo kati yetu (Waislamu) na wengine (wasiokuw a Waislamu) ni swala ”. (Ahmad, Abu Daud, An-Nasai, Tirmidh)
Kutokana na hadithi hizi, tunajifunza kuwa mtu ambaye hasimamishi swala, hatak**a anajiita Muislamu si Muislamu bali ni kafiri k**a makafiri wengine. Anakuwa kafiri kwa sababu amekanusha amri ya Allah iliyowazi k**a inavyobainika katika aya zifuatazo:

“Waambie waja wangu walioamini, wasimamishe swala. ”(14:31)

“... Basi simamisheni swala, kwa hakika swala kwa waumini ni faradhi iliyow ekewa nyakati makhsusi.” (4:1 03)

“Na waamrishe watu wako kuswali (kusimamisha swala) na uendelee mwenyewe kwa hayo...” (20:132).

Tukumbuke kuwa hawi Muumini yule anayekuwa na hiari katika kutekeleza amri ya Allah na Mtume wake k**a tunavyokumbushwa katika aya ifuatayo:

“Haiwi kwa mwanamume aliyeamini wala kwa mwanamke aliyeamini, Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanapokata shauri, wawe na hiari katika shauri lao. Na mwenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hakika amepotea upotofu ulio wazi”. (33:36)

21/02/2025

Kutokana na umbile lake, aurah (uchi) ya mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja vya mikono. Muislamu mwanamke swala yake haitaswihi iwapo sehemu nyingine yoyote ya mwili itakuwa wazi bila kufunikwa wakati wa swala. Kuhusu vazi la mwanamke wa Kiislamu, tunafahamishwa kwa uwazi katika aya ifuatayo;

Endereço

Paquite
Pemba
CELIANI

Website

Notificações

Seja o primeiro a receber as novidades e deixe-nos enviar-lhe um email quando Madrassa saliquina 2020 publica notícias e promoções. O seu endereço de email não será utilizado para qualquer outro propósito, e pode cancelar a subscrição a qualquer momento.

Atalhos

Compartilhar

Categoria