fotmob sports

fotmob sports athlete

🦁🦁🦁🦁 safu Bora ya kiungo inayooelekea wapinzani kupanic mpaka kupewa red card jinsi wanavochafua dimba la Kati🙌🙌🙌💪💪💪💪  n...
24/01/2023

🦁🦁🦁🦁 safu Bora ya kiungo inayooelekea wapinzani kupanic mpaka kupewa red card jinsi wanavochafua dimba la Kati🙌🙌🙌💪💪💪💪 nguvu moja
# # fotmobsports

🦁🦁🦁 Kituo kinachofwata ni Benjamin William mkapa stadium dhid ya wagosi wa Kaya coastal Union   nguvu moja
24/01/2023

🦁🦁🦁 Kituo kinachofwata ni Benjamin William mkapa stadium dhid ya wagosi wa Kaya coastal Union nguvu moja

Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa...
24/01/2023

Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC tutakuwa wenyeji wao.

Wakiwa nchini watacheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Simba SC, Azam FC na Namungo FC. Mchezo wetu dhidi ya Al Hilal utakuwa wa mwisho na utachezwa Februari 5, 2023 kwenye Uwanja wa Mkapa.

 # # # Al ahly wameamua kugeukia kwa nyota wa krc genk raia wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ili kukamilisha uhamisho akacheze na elsha...
24/01/2023

# # # Al ahly wameamua kugeukia kwa nyota wa krc genk raia wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ili kukamilisha uhamisho akacheze na elshanawy pale mjin Cairo.

Gael sasa kulipwa kwa mafungu✨️Aliyekuwa kiungo wa Yanga, Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na sasa anajiandaa kuv...
24/01/2023

Gael sasa kulipwa kwa mafungu

✨️Aliyekuwa kiungo wa Yanga, Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na sasa anajiandaa kuvuta mkwanja wa kutosha kutoka kwa klabu hiyo baada ya kukiukwa kwa vipengele vya mkataba baina yao, lakini ikielezwa atalipwa kwa awamu tofauti na sio kwa mkupuo.

✨️Yanga ilimchomoa Gael kikosini dakika chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15 na nafasi yake kuchukuliwa na beki kutoka Mali, Mamadou Doumbia lakini staa huyo amewaganda Wanajangwani hao akitaka wamlipe stahiki zake na fidia haraka iwezekanavyo ili aendelee na yake.

✨️Mwanzo Yanga ilitaka Gael aendelee kuwa ndani ya kikosi ili acheze Kombe la Shirikisho Afrika lakini sio Ligi baada ya wachezaji 12 wa kigeni kutimia, lakini nyota huyo amegomea jambo hilo.


________________________

Address

Dar Es Salaam
Lilongwe
478587

Telephone

+255657258249

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fotmob sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to fotmob sports:

Shortcuts

Share

Category