The way of the cross international Pentecostal Bible University

The way of the cross international Pentecostal Bible University

Share

Bible College and university 🎓

29/07/2026
29/07/2026

With Bishop Dr Matthieu Esau Justin Ministries – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

29/07/2026

Preaching ❤️❤️

29/07/2026

Have a blessed Wednesday

27/07/2026

RÉPUBLIQUE DÉMOCRATIQUE DU CONGO
ÉGLISE PENTECOTISTE INTERNATIONALE DU CHEMIN DE LA CROIX EPICC UVIRA LE26 JUILLET 2026

THÈME: "KESHO YAKO NI MUNGU NDO ANAJUA"*
_Mungu pekee ndiye anajua kesho yako_

1. UTANGULIZI
Dugu na Dada, mara nyingi tunapanga kesho yetu lakini tunasahau kwamba hatujui hata kile kitatokea baada ya dakika 1
Kesho ni siri. Lakini kuna Mmoja anaijua: *NI MUNGU*.

*2. MANDIKO YA MSINGI .

*1. Mathayo 6:34*
_Basi, msiwe na wasiwasi kwa ajili ya kesho; maana kesho itajiwazia yenyewe. Shida ya siku moja inamtosha siku hiyo.
Mungu anatuambia: usibebe mzigo wa kesho leo. Siku moja kwa wakati wake.

*2. Yakobo 4:13-15*
Njoo sasa ninyi msemao, Leo au kesho tutakwenda mjini fulani... Badala yake mseme: K**a Bwana akipenda, tutaishi na kufanya hivi na vile.Mipango yetu ni mizuri, lakini lazima iwekwe mikononi mwa Mungu. "K**a Bwana akipenda"

*3. Jeremia 29:11*
Maana mimi najua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini na mwisho mzuri.
Hata k**a kesho yako inaonekana giza, Mungu tayari ana mpango wa amani na matumaini kwa ajili yako.

*4. Mithali 3:5-6*
_Muitegemee Bwana kwa moyo wako wote... Katika njia zako zote mkumbuke yeye, naye atazinyosha njia zako. Usitegemee akili yako kuhusu kesho. Mtegemee Mungu na yeye atanyoosha njia.

*5. Zaburi 31:15*
_Siku zangu zimo katika mkono wako.
Maisha yako yote, leo na kesho.
CONCLUSION :usiogope ju yakesho yako Mungu anaijua.
Rév pasteur marko foma.
Tél +243815820104

Want your school to be the top-listed School/college in Lilongwe?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dowa
Lilongwe

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00