19/12/2024
Tunasikitika kutangaza kifo cha mama yetu mamake organising secretary Bwana JD.Harambee ya maandalizi ya mazishi itafanywa Siku ya jumapili ijayo kisha mazishi yatakua ijumaa nyumbani kwake pale sokomoko .Karibuni Tusimameni na wenzetu wakati huu mgumu