Swahili Sahili

Swahili Sahili Tujifunze Kiswahili

Karibu huyu bingwa amalizie mwenzake chakula.
24/05/2024

Karibu huyu bingwa amalizie mwenzake chakula.

Nini inaendelea hapa πŸ˜‚
07/01/2024

Nini inaendelea hapa πŸ˜‚

02/12/2023

Nini maana ya kifaurongo?

28/11/2023

π‘΄π’”π’‚π’Žπ’Šπ’‚π’•π’Š π’˜π’‚ π’”π’Šπ’Œπ’–

Tuili–chukua muda mrefu kukamilisha jambo

Visawe: kawia, chelewa

Hii pia ni kupanda mtiπŸ˜‚
18/11/2023

Hii pia ni kupanda mtiπŸ˜‚

Heri njema ya kuzaliwa bosiπŸ₯°β€οΈπŸŽ‚πŸ™
09/11/2023

Heri njema ya kuzaliwa bosiπŸ₯°β€οΈπŸŽ‚πŸ™

08/11/2023

π‘΄π’”π’‚π’Žπ’Šπ’‚π’•π’Š π’˜π’‚ π’”π’Šπ’Œπ’–
Rogonya–sema maneno yasiyotambulika na wengi na kwa sauti kubwa na upesiupesi katika mambo ya uganga au tambiko.

02/11/2023

π‘΄π’”π’‚π’Žπ’Šπ’‚π’•π’Š π’˜π’‚ π’”π’Šπ’Œπ’–
Gunzi–sehemu ya hindi inayobakia baada ya kupukuchua punje zake
Visawe: guguta, bunzi

Je wajua, hiyo ya manjano huitwaje kwa Kiswahili?Inaitwa sifongo.
18/10/2023

Je wajua, hiyo ya manjano huitwaje kwa Kiswahili?
Inaitwa sifongo.

Ahsante kwa upendo wa mama.
12/10/2023

Ahsante kwa upendo wa mama.

12/10/2023

Balaa

Address

Siaya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Sahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Swahili Sahili:

Shortcuts

Share