21/09/2026
"Tumepanga...
Tumesema...
Tumeweka mikakati...
mimi sio mlevi, mimi sio wazimu
Tutafanya....
Tumeahidi...
Tutapunguza...
Tutateremsha...
Tutahakikisha...
Mwaka huu...
Chini ya miezi sita...
Kufikia mwezi wa Tisa...
Tumeongea na waziri...
Kuanzia mwezi ujao...
Vile vile Tumetenga....
Sijui K**a tunaelewana?"
atujasahau...........................................................................................................🥲