Sheng News

Sheng News OYA! Tunakubringia habari chem chem k**a ile subject ya sayo highskul, ama k**a ile kitu ya kuchoma nywele.

Mbuffalow Soiya Riegn ni gani
16/03/2022

Mbuffalow Soiya Riegn ni gani

Ndoio online study. Hakuna mtu anapata hii
05/05/2020

Ndoio online study. Hakuna mtu anapata hii

Mnadhani hii dawa ya madagascar ya corona inawork?
28/04/2020

Mnadhani hii dawa ya madagascar ya corona inawork?

29/03/2020

Hii story ya Corona imekufunza kitu kweli?

26/01/2020

Hii fom ya BBI inaleta shangwe kweli?

Ni OCTOBER lakini bado kazi yako ni kuwatch series na kudoz. Myut kwani new year resolutions zako utaanza kuzishugulikia...
01/10/2016

Ni OCTOBER lakini bado kazi yako ni kuwatch series na kudoz. Myut kwani new year resolutions zako utaanza kuzishugulikia next year? CHANGAMKA.

25/09/2016

ASENALI NA CHELSEA. MOTO NA BARAFU.

Huyu mtoi unamcheki hapo chini alizaliwa akiwa na miguu. Angeweza piga kalesa lakini saa hii hawazi coz alichapwa na tra...
23/09/2016

Huyu mtoi unamcheki hapo chini alizaliwa akiwa na miguu. Angeweza piga kalesa lakini saa hii hawazi coz alichapwa na train mguu zote zikalost. Unadhani kitu k**a hiyo ingehappen kwa maisha yako, bado ungekuwa na huyo boy boy anakusumbuwa ama huyo dem anafanya haulali? Ebu towa thoughts zako

Wasee wangapi wanafeel huyumsee atakuwa Gavana wa Nai after elections zinakwom? Ebu rusheni ma diam hapo kwa comment box
21/09/2016

Wasee wangapi wanafeel huyumsee atakuwa Gavana wa Nai after elections zinakwom? Ebu rusheni ma diam hapo kwa comment box

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sheng News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share