Jengabiz
Empowering Dreams, Igniting Success
Welcome to JengaBiz, where innovation meets ambition, and dreams are transformed into thriving businesses.
Jengabiz Incubator is a startup incubator helping Kenyan founders validate ideas, build digital products, and become funding-ready with practical mentorship, tools, and community. Founded with a passion for empowering Kenyan entrepreneurs, JengaBiz is more than just a platform; it’s a dynamic community dedicated to your success. Over 100 FREE business lessons
Practical Business skills training
Com
Ukichagua njia ya biashara, lazima uelewe kuwa ni high risk. Inahitaji kujitolea na uvumilivu. Changamoto zikija, ni muhimu kujua namna ya kuzitatua ili uweze kuendelea na kufanikiwa.
Mafanikio ya biashara yanategemea uelewa sahihi wa soko, maarifa ya uendeshaji, na ujuzi wa kufanya maamuzi bora. JengaBizz inakusaidia kupata mwongozo na rasilimali muhimu ili kuongeza ufanisi na kukuza biashara yako kwa mafanikio.
Tembelea www.jengabiz.co.ke
au piga simu 0723 645 810 kwa maelezo zaid
Anza Biashara Pata Msaada Karibu Sana! Usibaki na wazo tu chukua hatua leo. JengaBizz inakupa mwongozo, maarifa, na rasilimali unazohitaji kuanzisha na kukuza biashara yako kwa mafanikio
Web app inaweza kuwafikia watu wengi kwa urahisi, lakini mara nyingi changamoto huwa ni ukosefu wa mtaji wa kutosha. Ndiyo maana unaweza kutumia equity financing k**a angel investors na venture capital ili kupata fedha za kukuza biashara yako bila mzigo wa madeni.
Kuna njia mbili muhimu za kutathmini hatari: severity na frequency. Severity inaonyesha ukubwa wa hasara inayoweza kutokea, wakati frequency inaonyesha mara ngapi hatari hiyo inaweza kujitokeza. Kuelewa vipengele hivi viwili husaidia kufanya maamuzi sahihi ya kudhibiti hatari na kulinda biashara au mali zako kwa ufanisi.
Debt k**a chanzo cha mtaji ni njia ya kukopa fedha kutoka benki au taasisi za kifedha ili kuanzisha au kukuza biashara. Ingawa inakupa uwezo wa kuanza haraka bila kupoteza umiliki wa biashara, inahitaji nidhamu ya malipo na usimamizi mzuri wa fedha. JengaBizz inakusaidia kuelewa jinsi ya kutumia debt kwa usahihi ili kukuza biashara yako kwa mafanikio.
Tembelea www.jengabiz.co.ke
au piga simu 0723 645 810 kwa maelezo zaidi.
Uwekezaji Equity vs Debt Faida na Hasara Zake. Fahamu tofauti kati ya equity na debt financing, pamoja na faida na changamoto zake katika kukuza biashara yako. JengaBizz inakupa mwongozo sahihi ili uchague njia bora ya kufadhili biashara yako.
Tembelea www.jengabiz.co.ke
au piga simu 0723 645 810 kwa maelezo zaidi.
Biashara 9 kati ya 10 huanguka lakini kwa maarifa sahihi, mtaji, na mwongozo bora, unaweza kuwa miongoni mwa wanaofanikiwa. JengaBizz iko hapa kukusaidia kuanzisha na kukuza biashara yako kwa mafanikio.
Unatafuta mtaji wa kuanzisha au kukuza biashara yako? JengaBizz inakusaidia kuelewa njia mbalimbali za kupata mtaji, kukuunganisha na fursa sahihi, na kukupa mwongozo wa kufanya maamuzi bora ya kifedha. Chukua hatua leo na uanze safari ya mafanikio ya biashara yako.
Unataka kuanzisha au kukuza biashara yako? JengaBizz inakupa mwongozo wa kitaalamu, rasilimali muhimu, na mitandao ya kukusaidia kufanikiwa. Jifunze jinsi ya kupata mtaji, kuongeza mauzo, na kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara kwa uhakika.
Tembelea www.jengabiz.co.ke
au piga simu 0723 645 810 kwa maelezo zaidi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Finahost Online Solutions, Nextgen Mall, 1st Floor, Suite 37
Nairobi
00605