Kiswahili na Bwana Wanto Warui

Kiswahili na Bwana Wanto Warui

Share

Maelezo yoyote kuhusu lugha ya kiswahili wasiliana nasi

28/09/2024

Ama tulete huyu Kenya achezee Murang'a Seal?

17/12/2021

Kila mtenda wema na azidi kutenda mema; kila mtenda uovu na azidi na maovu yake!

31/08/2019

Kwa uzuri na ubaya, nashiriki yangu damu,
Kwa mapishi na tabiya, Uswahili una ghamu,
Kwa asili za duniya, sera zetu zitadumu,
Hata ningaenda ng'ambo, nitazikwa huku kwetu!

08/06/2016

Ewe wangu Maulana, jinalo nalitukuza,
Menitendeya ya kina, hisani ukanijaza,
Ninayaola bayana, mazuri lonipakiza,
Ndiposa nakusifia, kwa nyimbo na mashairi.

27/02/2015

Mamba akikuvusha mto usimseme kanuka.

23/08/2014

Sitapoteza ulimi kwa kusakamwa na muhogo.

22/08/2014

Mshairi mkongwe Abdallah Shamte akiniusia nilipomtembelea kwake Mwembe Tayari, Mombasa. http://t.co/SAZAAU3jmA

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Nairobi
02000