24/02/2026
Luʿluʿ wa-al-Marjān1059. Hadithi ya Ibni Abbas (r.a) kuwa amesema, "Siku ya Alkhamisi, ni kitu gani kilitokea siku hiyo ya Alkhamisi? kistha, akalia, mpaka machozi yake yakarowesha changarawe, akasema, Mtume wa Alah akazidiwa na ugorjwa siku ya Alkhamisi na akasema, 'Nileteeni zana ża kuandikia niwaandikieni maandishi na hamtapotea baada ya maandishi hayo kabisa.' Watu wakatofautiana katika hilo na haifai kugombana mbele ya Mtume. Wakasema, 'Mtume wa Allah ni mgonjwa sana." Akasema, "Niacheni, nilicho nacho ni bora kuliko mhacho niitia." Wakati wa kufa kwake akausia mahbo matatu, "Watoeni Mushirikind katika kisiwa cha Bara Arabu na wapeni wajumbe (wageni) zawadi k**a nilivyokuwå nina wapa.' Na la tatu nimelisahau," (Bukhari, Hadithi Na. 288, Juzuu ya 4)
البخاري:٤٤٣١ – حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ عَنْ سُلَيْمَانَ الأَحْوَلِ عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ قَالَ قَالَ
ابْنُ عَبَّاسٍ يَوْمُ الْخَمِيسِ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ اشْتَدَّ بِرَسُولِ اللَّهِ ﷺ وَجَعُهُ فَقَالَ ائْتُونِي أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لَنْ تَضِلُّوا بَعْدَهُ أَبَدًا فَتَنَازَعُوا وَلاَ يَنْبَغِي عِنْدَ نَبِيٍّ تَنَازُعٌ فَقَالُوا مَا شَأْنُهُ أَهَجَرَ اسْتَفْهِمُوهُ فَذَهَبُوا يَرُدُّونَ عَلَيْهِ فَقَالَ دَعُونِي فَالَّذِي أَنَا فِيهِ خَيْرٌ مِمَّا تَدْعُونِي إِلَيْهِ وَأَوْصَاهُمْ بِثَلاَثٍ قَالَ أَخْرِجُوا الْمُشْرِكِينَ مِنْ جَزِيرَةِ الْعَرَبِ وَأَجِيزُوا الْوَفْدَ بِنَحْوِ مَا كُنْتُ أُجِيزُهُمْ وَسَكَتَ عَنِ الثَّالِثَةِ أَوْ قَالَ فَنَسِيتُهَا
– صحيح (البخاري)
§ بَابُ مَرَضِ النَّبِيِّ ﷺ... في كتاب المغازى
Luʿluʿ wa-al-Marjān1060. Hadithi ya Ibni Abbas (r.a) "Kilipokaribia kifo cha Mtume wa Allah (s.a.w) na ndani ya nyumba kulikuwa na wanaume, Mtume (s.a.w) akasema, 'Njooni niwaandikieni maandishi hamtapotea baada ya hayo.' Baadhi yao wakasema, Bila shaka Mtume wa Allah s.a.w) maumivu yamemzidi, na mnayo Qur'ani, kwa hiyo kinatutosha kitabu cha Allah. Walio ndani wakatofautiana na wakagombana; baadhi yao wakasema, 'Sogezeni awaandikie maandishi ambayo hamtapotea baada yake.' Na wengine wakasema yasiyokuwa hayo. Walipoongeza zogo na kutofautiana Mtume wa Allah (s.a.w) akasema, 'Ondokeni!' Ubaidallahi (Mpokezi wa hadithi hii) akasema, Ibnu Abbas alikuwa anasema, 'Msiba ulio mkubwa zaidi ni kile kilichozuwia kati ya Mtume wa Allah na kuwaandikia yale maandishi, kwa sababu ya tofauti Zao na zogo lao. lao." (Bukhari, Hadithi Na. 717, Juzuu ya 5)
مسلم:١٦٣٧a – حَدَّثَنَا سَعِيدُ بْنُ مَنْصُورٍ وَقُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ وَأَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ وَعَمْرٌو النَّاقِدُ وَاللَّفْظُ لِسَعِيدٍ قَالُوا حَدَّثَنَا سُفْيَانُ عَنْ سُلَيْمَانَ الأَحْوَلِ عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ قَالَ قَالَ ابْنُ عَبَّاسٍ يَوْمُ الْخَمِيسِ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ ثُمَّ بَكَى حَتَّى بَلَّ دَمْعُهُ الْحَصَى فَقُلْتُ يَا ابْنَ عَبَّاسٍ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ قَالَ
اشْتَدَّ بِرَسُولِ اللَّهِ ﷺ وَجَعُهُ فَقَالَ ائْتُونِي أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدِي فَتَنَازَعُوا وَمَا يَنْبَغِي عِنْدَ نَبِيٍّ تَنَازُعٌ وَقَالُوا مَا شَأْنُهُ أَهَجَرَ اسْتَفْهِمُوهُ قَالَ دَعُونِي فَالَّذِي أَنَا فِيهِ خَيْرٌ أُوصِيكُمْ بِثَلاَثٍ أَخْرِجُوا الْمُشْرِكِينَ مِنْ جَزِيرَةِ الْعَرَبِ وَأَجِيزُوا الْوَفْدَ بِنَحْوِ مَا كُنْتُ أُجِيزُهُمْ قَالَ وَسَكَتَ عَنِ الثَّالِثَةِ أَوْ قَالَهَا فَأُنْسِيتُهَا قَالَ أَبُو إِسْحَاقَ إِبْرَاهِيمُ حَدَّثَنَا الْحَسَنُ بْنُ بِشْرٍ قَالَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بِهَذَا الْحَدِيثِ
– صحيح (مسلم)
§ باب تَرْكِ الْوَصِيَّةِ... في كتاب الوصية