hassan edo

hassan edo

Share

Mie ni mwanahabari mpekuzi hapa nchini Kenya kutoka idhaa ya Guru tv kenya media.

Photos from hassan edo's post 06/10/2023

Make life fun, tomorrow isn't guaranteed.

30/01/2022
13/06/2021

Christian Eriksen collapsed during the team’s Euro 2020 match against Finland and was administered urgent medical attention on the field. The match was suspended in light of his injury.

Denmark players formed a circle around the Danish midfielder as he was given CPR.

03/02/2021

Be rich in heart

14/01/2021

I'm proud to be a Kenyan citizen 🇰🇪🇰🇪

04/09/2020

DO YOU WANT TO WATCH YOUR ACCOUNT GROW MASSIVELY? IF YES FOLLOW SIMPLE INSTRUCTION AS SEEN BELOW;

FOLLOW THE TAGGED ACCOUNT


Follow the above account and follow everyone they are following
Click the link in thier bio and join thier Whatsapp group
Dm when done thank Me later 100% trusted ⚡⚡⚡don't forget to turn on their post notification.
_________________________









Photos 31/08/2020

Soka la Kenya limepiga kona?
PICHA YA KARNE! Picha inayozungumza! Picha ya kumbukizi. Miongoni mwa picha ambazo msanii kutoka nchini Tanzania, Mbwana Yusufu maarufu k**a Mbosso, aliwahi kuimba katika wimbo wake uitwao PICHA YAKE!
Picha ambazo kwamba huleta kumbukizi za ama huzuni au furaha. Picha ambazo zinanikumbusha kitabu changu kilichotuzwa kitabu bora katika kategoria ya vijana, kitabu cha PICHA YA KARNE. Picha ninazozungumzia wiki hii ni picha kutoka nchini Tanzania, k**a maandilizi ya ujio wa msimu mpya mwezi Septemba.
Picha ya maelfu kwa maelfu ya mashabiki waliofurika viwanjani katika maadhimisho ya utambulisho wa wachezaji wapya kwenye timu kongwe na zenye wafuasi lukuki nchini Tanzania: Yanga FC (watoto wa jangwani) na mabingwa watetezi wa taji la ligi nchini humo Simba FC (wekunde wa Msimbazi). Sherehe hizo zilifurika mashabiki na wasanii watajika wakiwemo Naseeb Abdul maarufu k**a Diamond Platnumz; na Rajab Abdul maarufu k**a Harmonize aka Konde boy
Kwa namna ambavyo uwanja wa hayati Benjamin Mkapa ulivyofurika, hadi sasa najiuliza k**a virusi vya Corona vipo nchini Bongo?!
Umati huo mkubwa umezua malumbano baina ya ushabiki, ulokole na ufuasi wa soka baina ya mataifa ya Kenya na Tanzania. Je, Tanzania imo mbioni kuipiku Kenya katika kuyajali maslahi ya wachezaji, kujitokeza kwa mashabiki viwanjani, ufadhili wa soka na usimamizi wa kandanda kwa ujumla?
Kwani vilabu vikongwe nchini Kenya kwa maana ya Gor Mahia FC na AFC Leopards havina wasanii wakali wanaovishabikia? Je, ujio wa wasanii hawa kujitokeza kuzishabikia timu zao una umuhimu gani katika kuwavutia mashabiki katika viwanja vya soka.
Miaka ya nyuma nikiwasikiliza watangazaji wakongwe nchini Tanzania k**a Juma Selemani Nkamia, Swedy Mwinyi, marehemu Ezekiel Malongo, marehemu Marin Hassan, marehemu Ahmed Jongo na wengineo, zama hizo Kenya ilikuwa mbele sana tunapozungumzia idadi ya mashabiki viwanjani.
Ni nini hiki kimelifanya soka nchini Kenya kupiga kona? Sababu ni nyingi mno. Nitadadavua tu moja au mbili.
Mwanzo ni wanahabari wa habari za michezo. Leo hii, kutokana na jinsi soka lilivyo (wadhamini na ufuasi wa wasikilizaji na watazamaji), waandishi wa habari za michezo wamemezwa na soka l

Photos 29/08/2020

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Nairobi