Apostle Filbert Lekule - Jesus Discipleship Ministry world wide

Apostle Filbert Lekule - Jesus Discipleship Ministry world wide

Share

Fᴏʀᴇx/Bɪɴᴀʀʏ Exᴘᴇʀᴛ 📊📈
🧰𝐸𝑛𝑡𝑟𝑒𝑝𝑟𝑒𝑛𝑢𝑒𝑟
💱𝐶𝑟𝑦𝑝𝑡𝑜/𝐵𝑖𝑡𝑐𝑜𝑖𝑛 𝑚𝑖𝑛𝑖𝑛𝑔
💹𝐹

23/04/2024

Ni swali tu!

Hivi kwa nini wanawake huenda kwa mazishi na Dera na kanga mbili au aina yote ya nguo za heshima lakini wakienda kanisani wanavaa nguo fupi na nguo za kubana wengine kifua wazi manyonyo ikiwai hapo juu?

Ina maana maiti huwa inaheshimiwa kuliko Mungu mwenyewe kuheshimiwa kuliko vyote aliye hai nimeuliza tu naomba nijibiwe tu.

2Thimotheo 2:9-10 someni hilo andiko mtafakari na Mimi nimeenda 🏃🔥🔥🏃🏃🏃

19/04/2024

Hizi ndizo Salam zangu kwenu rafiki zangu wa nguvu na wote mnaonifollow.

MUNGU NI MTU WA VITA NA KWAKE NENO KUSHINDWA HALIPO NA HALITAKUWEPO.
👇👇👇

Kutoka 15:3-BWANA ni mtu wa vita,BWANA ndilo jina lake.

Ikiwa unapitia vita na unamwamini Mungu usiogope Mungu atakupigania na utashinda katika jina la YESU amini tu mtu wa Mungu

Iwe ni pito unapitia utashinda iwe ni watu wanakupiga vita popote iwe ni kazini, kwenye biashara Yako,kwenye ndoa,kwa uchumba,we elewa hivi.Watapigana nawewe lakini hawatakushinda katika jina la YESU.Yeremia 1:19

Nawapenda upeo ❤️❤️❤️❤️

Mungu awabariki rafiki zangu wa nguvu

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Nairobi