23/04/2024
Ni swali tu!
Hivi kwa nini wanawake huenda kwa mazishi na Dera na kanga mbili au aina yote ya nguo za heshima lakini wakienda kanisani wanavaa nguo fupi na nguo za kubana wengine kifua wazi manyonyo ikiwai hapo juu?
Ina maana maiti huwa inaheshimiwa kuliko Mungu mwenyewe kuheshimiwa kuliko vyote aliye hai nimeuliza tu naomba nijibiwe tu.
2Thimotheo 2:9-10 someni hilo andiko mtafakari na Mimi nimeenda 🏃🔥🔥🏃🏃🏃