Masibo paul wabwayi Ngome

Masibo paul wabwayi  Ngome

Share

Paul Ngome's social media sites have been set up as an additional channel for communication with our

29/01/2024
07/12/2023

1 John 3:8
The Son of God appeared for this purpose, to destroy the works of the devil.

18/12/2022

MALIMWENGU
Mtoto wa miaka 2 wa Uganda amemezwa mzima mzima na kutemewa tena na kiboko.
Mtoto huyo alikuwa akicheza peke yake kando ya ziwa katika mji wa Katwe Kabatoro kabla ya kunyakuliwa na mnyama huyo.
Kabla kiboko hajaweza kumtafuna mtoto huyo, mtu aliyekuwa karibu kwa haraka alimrushia mawe mnyama huyo na kumtapika tena mtoto huyo.
Mtoto huyo alikimbizwa katika hospitali ya eneo hilo na kutibiwa majeraha yake na sasa ni mzima wa afya.

18/12/2022

Chukua dakika mbili tu ata k**a umechoka ama hauna hope ya leoπŸ₯ΊπŸ«£πŸ™πŸ˜„ Andika Mungu bariki familia yangu na nchi yangu ya Kenya β€οΈπŸ™πŸŽŠπŸ’― πŸ™πŸ˜©. Happy marry Christmas. Ipo siku yako yaja.

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Ongata Rongai
Nairobi
0200