21/11/2022
Literature and fasihi revision podium
It's about helping students
21/11/2022
09/10/2021
There's always something positive to remember on live play's
16/12/2020
we are planning a back to school show
"Alihisi k**a aliyechomwa na joto la tanuri..."
A. Weka dondoo katika muktadha wake(al 4)
B. Eleza sifa tatu za mrejelewa wa dondoo(al 6)
C. Taja maudhui katika dondoo na kutolea mifano mitano katika riwaya.(al 10)
Kwa kurejelea hadithi ya mapenzi ya kifaurongo na shogake Dada fafanua changamoto zinazowakumba vijana
"haliwezekani!hili haliwezekani itakua k**a kile kisa cha yule kiongozi wa kiimla wa kike,yule anayesimuliwa katika visakale vya majirani zetu"eleza muktadha wa dondok
"mwanangu usimpake tope babako.amekulea kwa miaka yote k**a hii k**a mwanaume,japo kwa kweli hakzaa wewe"eleza muktadha wa dondoo
Eleza mbinu ambazo viongozi wa Jimbo la Sagamoyo walitumia katika uongozi wao
To our followers, if you need someone to talk we are here. If you need a opinion, smile, or just someone to listen. our ears and heart are open.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Nairobi