19/04/2025
Sasa, pole kutext usiku late najua ushalala;
Kuna issue hapa, umeongea sana kuhusu Boychild,
mimi niliolewa nikiwa 19, just after KCSE na nilipata C plain. My husband then alikuwa 23years. So we agreed twende college, yeye akaanza, niliuza mamboga mpaka mamboga ikanizoea. I was doing this kumlipia fee. Akamaliza na bahati mzuri akapata job Kenya Pipeline, he was connected by his cousin. After 6 months nikamwambia it's my turn kwenda shule, sema dust! Niliambiwa endelea kuuza mamboga ujipeleke juu yeye hana time yangu. Akatafuta nyumba Nairobi na kuniblock, mimi na mtoto wake tukawa maadui. It's now 7Years, nilihangaika kidogo but my sister took us in na akanilipia fee nikajoin Kilimambogo Teachers College. Sahi nangángána na watoto wa CBC, nyangáu ameanza kunitafuta tena. Nimejiambia never.
Boychild mnafanyaje Girlchild huku kweli?