06/09/2026
Same People Chronicles
Kevin alikuwa amekaa na rafiki yake, Juma, kwa neighbourhood yao ya estate. They were having a boys' talk ndio sasa Kevin akasema kwa sauti ya confidence:
“Mimi sina pressure na relationship. I’m focusing on myself.”
Alionekana serious sana. Juma akamwangalia na kutoa kicheko kidogo.
Five minutes later… Kevin alikuwa peke yake.
Akaenda kukaa kwenye sofa, akafungua WhatsApp.
Akaangalia k**a yule mtu yuko online.
Akafunga.
Akaifungua tena.
Akaangalia last seen.
Akaangalia tena.
Akaangalia tena.
Moyo wake ulikuwa unapiga haraka. Alikuwa anacheck phone kila sekunde.
Juma akaingia ndani.
Akauliza: “Umesema ulikuwa focusing on yourself?”
Kevin akaificha phone haraka kwa mto ya sofaset. Akakaa straight na akasema kwa sauti ya confidence:
“Niko focused kabisa!”
Hapo hapo… “Ting!”
WhatsApp notification.
Kevin akaruka juu k**a mtu aliyepigwa na umeme. Akaishika phone na mikono miwili na kupiga kelele:
“AMEJIBU!”
Juma akamwangalia tu. Uso wake ulikuwa unfocused kabisa. Kwa sauti ya chini k**a “The same people who say...”