Bahari la Uswahili.

Bahari la Uswahili. Bahari la uswahili ni uwanja ulio wazi kwa wapenzi wa lugha ya kiswahili. Walio miti katika uandishi

It's sacrifice to ensure you get that peace of news. Its real hustle because others don't get paid but the oath to speak...
03/05/2024

It's sacrifice to ensure you get that peace of news. Its real hustle because others don't get paid but the oath to speak for others keeps us going Ray Kabagazi Mzazi W***y M. Tuva

Mapenzi yanarun duniya, hulewesha ni husababisha wengine kutoa, kujitoa na kuwatoa wengine uhai. Mizuka ya mapenzi ikipa...
07/07/2022

Mapenzi yanarun duniya, hulewesha ni husababisha wengine kutoa, kujitoa na kuwatoa wengine uhai. Mizuka ya mapenzi ikipanda hamna wa kuzibiti.
Leo ninalo swali maanake najua kunao ambao yashaawatokea.
Ukajipata kwa mahusiano ya ndani halafu iwe wazazi wako hawampendi mchumba wako, je utayamaliza yale mapenzi?

Leo ni siku muhimu sana kwa ndugu zetu waislamu. Siku ambayo mtume Ibrahim SAW aliwekwa kwa mizani ya imani na Allah SSW...
20/07/2021

Leo ni siku muhimu sana kwa ndugu zetu waislamu. Siku ambayo mtume Ibrahim SAW aliwekwa kwa mizani ya imani na Allah SSW kwamba akamtoe mwanawe wapekee, Issaka k**a sadaka.

Mtume Ibrahim SAW aliufuzu mtihani naye Allah SSW akampa kondoo awe sadaka.

Leo ni siku kuu tutasherehekea pamoja nanyi ndugu zetu.
Allahu Akbar, Allahu Akbar,. Allahu Akbar.


Unasherehekea ukiwa wapi ndugu yangu?

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Hon Yusu Haji. Kenya na Afrika nzima kwa jumla, tumepoteza kiongozi. Tufuateni nyayo...
15/02/2021

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Hon Yusu Haji. Kenya na Afrika nzima kwa jumla, tumepoteza kiongozi. Tufuateni nyayo zake.

Leo ikiwa ni siku ya kumbukizi yaani TBT, najua kunao wengi ambao tulikisoma kitabu hiki.Sitosema inue mkono juu la hash...
26/11/2020

Leo ikiwa ni siku ya kumbukizi yaani TBT, najua kunao wengi ambao tulikisoma kitabu hiki.

Sitosema inue mkono juu la hasha k**a ulikisoma, koment kwa jina la mhusika yeyote unayemkumbuka kutoka kwa kitabu hiki.
Unamkumbuka yupi?

Kilicho na mwanzo, sharti kiwe na mwisho.Imekua ni safari ndefu ya mfungo na toba. Tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa kuwaw...
05/06/2019

Kilicho na mwanzo, sharti kiwe na mwisho.
Imekua ni safari ndefu ya mfungo na toba.

Tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa kuwawezesha ndugu zetu waislamu. Tunawatakieni Eid njema yenye baraka na mwanzo mpya.

This video will be dropping tomorrow let's give full support to our artistes.  They are our own criticize the video and ...
16/01/2019

This video will be dropping tomorrow let's give full support to our artistes. They are our own criticize the video and comment.

Mabadiliko huanza kwa mtu binafsi na usipobadilika,  hali zitakubadilisha.  Tubugieni wasanii wetu kuliko kuona nje tu. ...
14/01/2019

Mabadiliko huanza kwa mtu binafsi na usipobadilika, hali zitakubadilisha. Tubugieni wasanii wetu kuliko kuona nje tu.
Hiki ni kionjo cha video kazi yenyewe itaachiliwa Alhamisi, tegea papahapa tutakujuza mida.
ama unasemaje mdau?

Kheri njema kwa wakenya wote. Madaraka yenye manufaa.  .
01/06/2017

Kheri njema kwa wakenya wote. Madaraka yenye manufaa. .

Mama atabaki kuwa mama. Hupitia mitihani mikubwa ambaye  hakuna mwingine anaweza  kustahimili ila  anajikaza tu. Umefika...
14/05/2017

Mama atabaki kuwa mama. Hupitia mitihani mikubwa ambaye hakuna mwingine anaweza kustahimili ila anajikaza tu. Umefika ulipo, ila bado anakupigia na kusema mwanangu. Ahsante mama. .

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahari la Uswahili. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bahari la Uswahili.:

Shortcuts

Share

Category