Evangelist Ezekiel

Evangelist Ezekiel may God bless you
(1)

18/09/2025

Bwana Asifiwe,Yote unayopitia yataisha amini Mungu.Muwe na siku njema njema yenye mafanikio

27/02/2025
UCHAWI WA KUTOA MIMBA WAISHA NGUVU:➡️Kwa mda wa miaka kumi na Tano, Lucy ameishi Kushika mimba zikitoka!!Alipokuja maomb...
27/02/2025

UCHAWI WA KUTOA MIMBA WAISHA NGUVU:
➡️Kwa mda wa miaka kumi na Tano, Lucy ameishi Kushika mimba zikitoka!!

Alipokuja maombi.. Roho aliniambia Lucy amefungwa kichawi katika familia ambayo ameolewa.. na Kila mwaka Huwa wanatoa kafara mimba yake.

Nilimuombea, nikampatia mafuta (Anointing oil) na nikamwambia ajipake kwa tumbo.. hili anaposhika mimba isionekane mpaka ajifungue.

Lucy alifanya vile nilimwambia.. na aliposhika mimba..Watu wa familia hawakuiona na hawakujua kuwa Ako na mimba!!

Alihudhuria clinic kwa Siri..na alipokaribia wakati wake wa kujifungua.. Akafanya makosa akajulisha mme wake Ako na mimba.

Mme wake alipojua kuwa Lucy Ako na mimba...Aliungana wa watu wao kujaribu kutoa ile mimba kafara..kama walivyokua wamezoea!! HAWAKUFANIKIWA.

Walimfunga kichawi asifanikiwe kujifungua.. na hapo ndipo Lucy aliniita nikamuombea nyumbani.

Nilifika...Nikamkuta anaumia kwa uchungu wa kuzaa..na nilipomguza kwa kichwa.. akajifungua mtoto na utukufu ukamrudia Mungu.

Inawezekana umefungwa kwa madhabahu za kifamilia... Nakuombea ufunguliwe katika jina la Yesu.
Amini na u-Type "AMEN "

26/02/2025

Amen

12/07/2022

She's doing great work ��

Address

Mombasa

Telephone

+254787537879

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelist Ezekiel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Evangelist Ezekiel:

Shortcuts

Share