Tuungane pamoja tuelimishane

Tuungane  pamoja  tuelimishane To educate people

16/07/2023

Wazazi wenzangu pale uchumi umefika ni pabaya so Linda mtoto wako so wakike na sio wakiume wote wanasitahili kuwa katika mazingira safi yenye kuridhisha na sio wazazi pekee ata walimu pia

06/05/2023

Monday watoto wanarudi shulee unakipi cha kuwaambia

04/11/2020

Twashukuru angalau baadhi ya watoto wamerudi shule

Try it  and  see
12/07/2020

Try it and see

Onyo kwa wazazi chungeni watoto wenu  msimu huu  mgumu wa covid-19  hasa  watoto  wakike  juh  mkiwaachilia  mtalea waju...
17/06/2020

Onyo kwa wazazi chungeni watoto wenu msimu huu mgumu wa covid-19 hasa watoto wakike juh mkiwaachilia mtalea wajukuu so kaeni makini

Nawahimiza  wazazi. Wenzangu kuwatayarisha  watoto. Kurudi. Shule  mapema. mwezi  ujao
26/05/2020

Nawahimiza wazazi. Wenzangu kuwatayarisha watoto. Kurudi. Shule mapema. mwezi ujao

22/03/2020

Ugonjwa huu Wa covid-19 umeathiri w2 wengi sana na endapo km hautapata tiba ya haraka utaathiri vibaya wanafunzi we2 hususani wale Wa class eight na form four.Ugonjwa huu unaeza changia majibu mabaya kwa watoto punde watakapofanya mtihani wao Wa mwisho.Au hata kutofanyika kwa mitihani yao ya mwisho

Mungu tusaidie
16/01/2020

Mungu tusaidie

Congratulations  guys
29/09/2019

Congratulations guys

Address

Bamba
Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuungane pamoja tuelimishane posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category