Ngwaruto Mohammed NM

Ngwaruto Mohammed NM

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngwaruto Mohammed NM, Education Website, Mombasa.

07/04/2025

Moja ya rasilimali kubwa ya mwanadamu mwanadamu ni akili yake,kuwekeza kwenye akili ndio uwekezaji mkubwa maana kila jambo linategemea na maamuzi yanayotoka kichwani mwako.

15/01/2023

Faida ya kusamehe imetithibiti kitiba kimatibabu yaani ni nadra kumpata mwenye kusamehe akiwa na sukari ikipanda ikishuka au presha uwa inamsimamo.Kisaikolojia chuki humchoma mtu anayehifadhi. Hakuna njia ya kuishi kwa furaha k**a kutokuwa na kinyongo au chuki na mtu hupati uzee wa haraka, kwenye kula unakula vizuri sababu moyoni una chuki na mtu unafuraha kuwa na hamu ya kula.Maana moyo ni sehemu ya kuhifadhi mazuri, kadhalika kusamehe huipa nguvu (Jihaz al-mana'ah) yaani kinga ya mwili (Immunity) na kinachohidofisha afya ya mwili kwa kiwango kikubwa ni msongo wa mawazo (Stress) na chuki.Kutokusamehe na kuhifadhi chuki mda mwengine husababisha ata kifo cha ghafla maana chuki huleta maradhi katika moyo.Kusamahe licha kuwa ni thawabu pia ina faida kimwili.
Ya Allah tujalie tuwe na mioyo yenye kusamehe, Amiin.

Bonyeza/ Clink link hii 👇 kwa mawaidha zaidi
https://youtu.be/33g2S7w9PqM

Want your school to be the top-listed School/college in Mombasa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address


Mombasa