Earthlife

Earthlife Teacher of math and geography from kibabii and Ict expert from airads
College

HATA NETFLIX ISINGETHUBUTU KUANDIKA STORY K**A HII! 🤯⚽Mwaka 2007, Lionel Messi alikuwa nyota chipukizi wa soka. Wakati h...
17/07/2026

HATA NETFLIX ISINGETHUBUTU KUANDIKA STORY K**A HII! 🤯⚽

Mwaka 2007, Lionel Messi alikuwa nyota chipukizi wa soka. Wakati huo alipigwa picha akiwa anamuogesha mtoto mchanga aliyeitwa Lamine Yamal.

Sasa mwaka 2026, katika Kombe la Dunia ambalo linaweza kuwa la mwisho kwa Messi akiwa mchezaji, anatarajiwa kucheza fainali dhidi ya Hispania, timu ambayo nyota wake mkubwa ni Lamine Yamal yuleyule mtoto aliyembeba na kumuogesha takribani miaka 19 iliyopita.

Picha hii ni ya kweli kabisa. Hakuna aliyewahi kufikiria kwamba mtoto huyo angekuwa mmoja wa mastaa wakubwa wa soka duniani, wala kwamba Messi angekuja kuwa mmoja wa wachezaji bora kabisa katika historia ya mchezo.

Leo, wawili hao wanakutana uso kwa uso kwenye jukwaa kubwa zaidi la soka duniani. Ni simulizi ambayo inaonekana k**a filamu, lakini limetokea katika maisha halisi.

HAKIKA, MAISHA YANA MIZUNGUKO YA KUSHANGAZA SANA. 🌍⚽

Address

Moi's Bridge

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Earthlife posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share