08/08/2025
Hapa ni Mtaa wa Malindi Kisumu Ndogo fence ya Malindi International Airport / HGM Primary.
Na kuna tabia Fulani hivi ya watu wa Vibandaski vya vyakula, kumwaga maji machafu barabarani, hii tabia pia sio nzuri.
Hivi nani wa kulaumiwa, serikali ama wenyeji wanaotekeleza utupaji taka ovyo ovyo??
đź“· Malindi Kenya
Richie-the-boy na McMango Mango