Kilifi youth reprentative for Christ

Kilifi youth reprentative for Christ This is a page aimed at uniting and recruiting fellow youths to Christ.

As a group we would like to ensure that the Gospel of Christ is spread to all corners of the world.

Jeneza halina nafasi ya vijiti wala urembo. Utakapokufa, mwili wako utaoshwa ukiwa uchi na watu ambao huenda hata hukuwa...
22/04/2026

Jeneza halina nafasi ya vijiti wala urembo. Utakapokufa, mwili wako utaoshwa ukiwa uchi na watu ambao huenda hata hukuwafahamu. Nyash kubwa, matiti, mazuri, na uzuri wote wa nje vitakuwa havina maana tena wakati huo.

Maisha haya ya mwili ni ya muda mfup tui, na kile tunachokipambania sana leo, kesho kinaweza kisiwe na thamani yoyote. Ndiyo maana si busara kujivunia sana muonekano wa nje au mali za dunia, ukasahau utu na wema kwa wengine.

Watendee watu vizuri, heshimu kila mtu, na jenga tabia njema. Hujui ni nani atakayesimama karibu yako siku ya mwisho, au ni nani atakayehusika na taratibu zako za mwisho. Dunia ina mzunguko wake, leo una nguvu na nafasi, una cheo kikubwa serikalini una ustaa lakini kesho mambo yanaweza kubadilika.

Kumbuka, watu hawatakukumbuka kwa uzuri wako au ulivyovaa, bali watakukumbuka kwa matendo yako, maneno yako na namna ulivyowatendea. Hivyo chagua kuwa mtu wa wema, heshima na huruma, kwa sababu mwisho wa siku, utu wako ndio utakaobaki kuwa kumbukumbu yako duniani. @ copied.

praise the name of the most most high God.we are very grateful to our God for the protection and healthy wise.Fellow Chr...
28/12/2025

praise the name of the most most high God.
we are very grateful to our God for the protection and healthy wise.
Fellow Christians, we are here today to tell God , "thank you"

From the depth of my heart , l want to wish you all a prosperous year ahead, 2026!

May the grace and mercies of God be upon you as we usher in a new year!

26/08/2025

Alpwe Jesu asenašŸ¤

Address

Kilifi

Telephone

+254790421676

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilifi youth reprentative for Christ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Kilifi youth reprentative for Christ:

Shortcuts

Share

Category