21/05/2024
Troparia ziimbwazo wakati wa Sakramenti za Utawazo na Ndoa Takatifu:
Sauti 7Enyi Mashahidi watakatifu, ninyi mfano na matendo yenu yamejishindia taji la utukufu, tuteteeni kwa Bwana wetu, na kumwomba huruma Zake kwa nafsi zetu...