Swahili Kimataifa

Swahili Kimataifa ustawi wa lugha duniani

Bingo:Kuna harufu nzuri mdomoni,ulikula nini Leo Kwa harusi?Mengo:Hakuna tulitimuliwa hatukukaribia gata mlango wa gate....
20/09/2026

Bingo:Kuna harufu nzuri mdomoni,ulikula nini Leo Kwa harusi?
Mengo:Hakuna tulitimuliwa hatukukaribia gata mlango wa gate...watu siku hizi ni adui,hata mfupa wanakula walai

conjunctions in Swahili
16/09/2026

conjunctions in Swahili

some Swahili vocabulary
16/09/2026

some Swahili vocabulary

Kipchoge anampasulia Kuni Susana kwa shokakipchoge -Kiimaanampasulia-kitenzi(Baada ya kitenzi tunapata nomino  nyingine ...
26/04/2026

Kipchoge anampasulia Kuni Susana kwa shoka

kipchoge -Kiima
anampasulia-kitenzi
(Baada ya kitenzi tunapata nomino nyingine {shamirisho})
Nomino inayoathiriwa ,inayopata pigo ni Kuni ,shamirisho Kipozi/yambwa.Shoka ni chombo kinachotumika kuathiri Kuni ni shamirisho ala.Anayepasuliwa Kuni ni shamirisho Kitondo/yambiwa.

18/04/2026

kila mara shirika nasi katika matukio mbalimbali yahusuyo Elimu yetu

14/04/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Hillaroy Lary, Korir Naomy

Address

Eldoret

Telephone

+254796304376

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Kimataifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Swahili Kimataifa:

Shortcuts

Share

Category