25/12/2023
Dear God,,. Ulisema nikishindwa nikuite,,,, mwili unazidi kuwa weak najiuliza lini mambo itajipa,,,, machozi kibao nalia usinipite,, au Roady nangojea ni ingine ulishasepa,,,,, ulimesema you'll never leave me,,, but nafeel nimeachwa Kwa desert solo naumia,,, ulidai niombe you'll give it to me ama kile naomba si changu na nang'ang'ana!! Nang'ang'ania? Yes nang'ang'ania juu si Bible imedai nitaishi fiti na life poa watanipatia,,,,,najua nimekosa,,,najua sifai tena kuitwa wako,,mawazo yangu ni chafu,,nimekuwa looser,,sijabeba courage yako,,,nimecheza rafu(rough),,nilikosa hope juu niliona life inazidi kuwa worse,,niliwazia rope but nikakumbuka huwanga curse,,,uko na soap nioshe tena nipate nafasi,,,,, dear God nilikua na uchungu tyme kwako naegemea but I'm being mocked,,it's true wanauliza uko wapi juu nafeel I'm blocked,,,life yangu na Yao wakicompare wanajiona Bora,,sina doh sina 4m niko tu,,natry kufunga but opponent wamehigher Gola,, shoot inampita ni ya juu,,,,haiwezekani eti watu wako na ukoo na king wanasuffer,,,if wako poa wale wanaserve Lucifer,,,,what I know ni eti my king hujawai shindwa,,so ntakungoja Hadi tym wataprove we ni bingwa