Asili Yetu tz

Asili Yetu tz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Asili Yetu tz, Sderot.

04/11/2025

🕯️⚰️Rest in peace our blood 🩸 🕊️

21/09/2025

Thomas Fuller alikuwa mwanaume Mwafrika aliyouzwa utumwani mwaka 1724 akiwa na umri wa miaka 14. Alipata umaarufu kwa uwezo wake wa ajabu wa kutatua matatizo magumu ya hesabu kichwani bila kutumia karatasi, jambo lililomfanya apewe jina la utani “Virginia Calculator” (mhesabu wa Virginia).

Siku moja mtu alimwuliza ni sekunde ngapi zipo katika mwaka mmoja na nusu. Baada ya kufikiri kwa dakika mbili tu, alijibu haraka: “47,304,000.”
Kisha akaulizwa ni sekunde ngapi mtu angekuwa ameishi ikiwa ana miaka 70, siku 17 na saa 12. Fuller alijibu ndani ya dakika moja na nusu tu: “2,210,500,800.”

Mtu mwingine aliyekuwa anahesabu kwa kutumia karatasi alisema jibu la Fuller ni kosa na kwamba jibu linalostahili ni dogo zaidi alilojibu. Fuller alijibu haraka“Hapana, bwana, umesahau mwaka wa kuruka (leap year).

Leap year ni mwaka wa nyongeza wa siku moja (Februari huwa na siku 29 badala ya 28) unaotokea kila baada ya miaka minne. Kwa hiyo, mtu akihesabu muda wa maisha ya mtu bila kuzingatia leap years, atapata hesabu ndogo kuliko ukweli.

Walipoongeza leap year kwenye hesabu, majibu yakalingana sawasawa.

Je, umewahi kukutana na mtu mwenye kipaji cha ajabu k**a hiki?”

20/02/2025

Keep smile & Enjoy

13/02/2025

The way it is”The best way to predict your future is to create it.”

17/12/2024

My love Country 🇹🇿💪🫶

14/12/2024
10/09/2024

True love

10/08/2024

Learning is Gift even when pain is your Teacher!

16/03/2023

...umeelewa nini kutokana na Usemi huu!!!

Want your school to be the top-listed School/college in Sderot?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Sderot