24/06/2019
Baadhi ya wanafunzi wa Taqwa nursery school ktk picha ya pamoja...
taqwa nursery school
24/06/2019
Baadhi ya wanafunzi wa Taqwa nursery school ktk picha ya pamoja...
19/06/2019
31/05/2019
Mlete mwanao Taqwa nursery school kwa elimu bora na yenye mafanikio
31/05/2019
Taqwa nursery school ni shule ya kutwa inayotoa elimu ya awali ambapo tunapokea watoto kuanzia umri wa miaka miwili hadi mitano. Shule hii inapatikana mtaa wa mwanzo mgumu jirani na soko la matope msamvu mkoani Morogoro. Kwa Maelezo zaidi tupigie kwa nambari 0758023793 au 0652637131 nyote mnakaribishwa
| Hétfő | 09:00 - 17:00 |
| Kedd | 09:00 - 17:00 |
| Szerda | 09:00 - 17:00 |
| Csütörtök | 09:00 - 17:00 |
| Péntek | 09:00 - 17:00 |
| Szombat | 09:00 - 17:00 |