12/09/2023
Jiunge na wenzako 👇👇
🌐https://courses.al-feqh.com/sw/register
tovuti hii inalenga ufikishaji na uenezaji wa maelezo ya Uislamu kwa lugha ya kiswahil, unaweza kujua
Ni mtandao wa ulinganizi unaofunza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Mtume zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.
12/09/2023
Jiunge na wenzako 👇👇
🌐https://courses.al-feqh.com/sw/register
16/04/2023
🌿🌿Kujifunza zaidi kuhusu Zaka (Chukua sadaka katika mali zao ili kuwatakasa na awatakase). na Zaaka ya fitri, NA Maana ya zaka za fitri? Hukumu ya Zaka ya Fitri? Wakati wa kutolewa Zaka ya Fitri? Wanaostahiki kupewa Zaka ya Fitri?👇🏻
🌐https://www.al-feqh.com/sw/zaaka-ya-fitri
11/04/2023
🌙✨Kujifunza zaidi kuhusu kufunga na sheria maombi& (Usiku wa cheo)Lailatu Al-qadr na Kwanini ukaitwa usiku wa cheo (usiku waheshima)? Fadhla za Lailatul.Qadr na Hadhi yake. Ni Usiku upi wa Laylatul Qadr ?. Mambo yanayo pendekezwa kufanywa ndani ya Laylatul.Qadr Alama za Laylatul.Qadr Maelezo.
🌐https://www.al-feqh.com/sw/usiku-wa-cheo-lailatu-al-qadr
10/04/2023
🌙⭐️Kwa nini Waislamu kufunga? Sheria na faida za swaumu nini? Kujifunza zaidi kuhusu kufunga na sheria maombi& ITIKAFU
🌐https://www.al-feqh.com/sw/itikafu
19/03/2023
📌Kwa nini Waislamu kufunga? Sheria na faida za swaumu nini? Kujifunza zaidi kuhusu kufunga na sheria maombi& fadhili za swaumu na hukumu zake
19/03/2023
🌿Namna ya kuswali swala ya ijumaa? Ubora wa siku ya Ijumaa? Hukmu Ya Anayeswali Ijumaa Pekee Na Kuacha Swalaah Zilizobaki? HUKMU YA KUACHA SWALA YA IJUMAA BILA YA DHARURA?SIKU YA IJUMA NA HUKMU WAKE👇🏻
🌐https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-ijumaa
01/03/2023
Kuoga
Kueneza maji mwilini kwa namna maalumu kwa kusudia kujikurubisha kwa
https://www.al-feqh.com/sw/kuoga
28/02/2023
✨💫 Kwa nini Waislamu kufunga swaumu? Sheria na faida za swaumu nini? Kujifunza zaidi kuhusu kufunga/swaumu katika uislamu na sheria ya maombi, Nayo inakusanya video sita pamoja na mada zilizoandikwa pia kuna vitabu vingi kuhusu swaumu na video mnaweza kubekua, nguzo za swaumu👇
🌐 https://www.al-feqh.com/sw/category/saumu
28/02/2023
Nguzo za swaumu na ya kuharibu swaumu
Nako ni kukusudia kwa anayefunga saumu ya kwamba huku kujizuia na vitu
https://www.al-feqh.com/sw/nguzo-za-saumu-na-yanaofaa-na-yanaopendeza-na-kuchukiza-na-ya-kuharibu-saumu
27/02/2023
Adhana na ikama
Ni kujulisha kuingia wakati wa Swala kwa kuleta maneno maalumu ya dhikiri.
https://www.al-feqh.com/sw/adhana-na-ikama
26/02/2023
Nguzo za Swala na Wajibu wake na Sunna zake
Ni sehemu zake za kimsingi ambazo Swala inatokana nazo, kwa namna isiyofaa kuziacha kwa hali yoyote ile
https://www.al-feqh.com/sw/nguzo-za-swala