27/05/2026
Tanzanian Students' Union in Egypt - TSUE"
Madhumuni ya Umoja wetu ni kuhakikisha maendeleo yanapatika kwa kushirikiana na wanachama wote.
27/05/2026
KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E 2025-2026
Idara ya Elimu na Jamii
KUONDOKA KWA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA MASOMO
Uongozi wa Wanafunzi unawataarifu wanachama wake wote kua, ndugu Mbarouk Khamiss Mbarouk anatarajia kusafiri leo tarehe 28 October 2025, kurudi Nyumbani Tanzania baada ya kuhitimu masomo yake katika Chuo Kikuu cha Az-har.
Aidha ndugu Mbarouk Khamis aliwahi kuhudumu kwenye chama kwa nafasi ya tume ya uchaguzi kwa zaidi ya miaka mitatu.
Umoja unamtakia safari njema na mafanikio mema uko aendako.
Umoja ni tunu yetu sote
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E
Katibu habari
Ummusalamah Rashid
13/10/2025
Ukafika wakati wakupata chakula kwa wageni wote😊
13/10/2025
Matukio mbali mbali ya kuapishwa Viongozi wa TSUE kwa mwaka wa 2025/2026
13/10/2025
Mgeni rasmi Mwambata Elimu na Mkuu wa Diaspora Mhe: Rashid Haroun akitoa salamu za Mhe: Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Misri
13/10/2025
Rais wa Wanafunzi Mhe: Muhammad Mashaka Ngupe akitoa hotuba yake baada ya kuapishwa
KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E 2025-2026
Idara ya Habari na mawasiliano ya nje
Kamati kuu kupitia idara ya habari inawajulisha wanachama wake Wote.
Kamati Kuu ilikaa Kikao chake cha kwanza siku ya jana na kuwateua wanachama Wawili kua Kamati ya Maadili kwa mujibu wa katiba yetu:.
Ndugu Ally Abdallah Athumani (Huba) Azhar University
Doctor Mahmud Idi
Cairo University
Pia Kamati inawahimiza wanachama wake kuwapa ushirikiano na mshikamano, ili kudumisha umoja tulioachiwa na waasisi wetu.
Umoja ni Tunu yetu sote
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E
Katibu Habari
Ummusalamah kwangaya
11/10/2025
KUTOKA K**ATI KUU T.S.U.E
2025-2026
Idara ya Elimu na Jamii
KUONDOKA KWA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA MASOMO.
Uongozi wa Wanafunzi wa Kitanzania Nchini Misri T.S.U.E
Unapenda kuwataarifu wanachama wake wote kuwa mwenyekiti mstaafu Mhe. NGELULA MALIKI PATRICK anatarajia kusafiri leo tarehe 11 Oktoba -2025,kuelekea nyumbani Tanzania baada ya kuhitimu masomo yake katika Chuo Kikuu Az-har kitivo cha ustawi wa jamii.
Umoja unamtakia mafanikio mema huko anakokwenda.
Umoja ni tunu yetu sote
---------------------------------------
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki T.S.U.E
---------------------------------------
Katibu Habari T.S.U.E
Ummusalamah Rashid Kwangaya
11/10/2025
TUME YA UCHAGUZI YA TSUE 2025/2026
Hii ndiyo Safu ya Uongozi wa Umoja wa Wanafunzi TSUE kutoka Vyuo tofauti tofauti nchini Misri
Mwenyekiti: Nd.Muhammad Mashaka Ngupe
Katibu Mkuu:Nd Arqam Bakari
Katibu fedha: Nd.Rajabu Kwangaya
Katibu Elimu: Karimu Kilimo
Katibu Jamii: Nd. Mubarak Shambani Namkumbi
Naibu Katibu Jamii: Nd.Tharan Khalid Juma
Katibu Michezo: Nd Issah Juma
Katibu Habari: Nd Ummu Salama Kwangaya
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki TSUE
08/10/2025
WAFWATAO NDIO WAGOMBEA WETU KWA NAFASI TOFAUTI TOFAUTI*
*KWA MWENYE PINGAMIZI AWASILIANE NA TUME YA UCHAGUZI*
*TUNATOA MASAA 24 KUANZIA SASA MPAKA KESHO MUDA K**A HUU TUTAFUNGA MILANGO YA PINGAMIZI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Telephone
Website
Address
Cairo