Fahamu Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Fahamu, Professeur particulier, Democratic Republic of the.

fahamu ni elimu itakayokufanya utambue thamani Yako na ujifunze namna watu wengine wanavyo tutazama pia jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha siku zote KARIBU Sana TUMA Ujumbe wako kupitia namba 0627107005 kwa msaada zaidi

17/08/2025

Ni MUNGU pekee ndiye rafiki unayeweza mambia Siri ambayo huwezi itoa kwa mtu yeyote na ukawa salama 🙏🙏

10/01/2025

MUNGU kwanza

10/01/2025

Je unapofumbua macho wazo lako la kwanza Nini ? Jibu tufany tathimini

fahamu ni elimu itakayokufanya utambue thamani Yako na ujifunze namna watu wengine wanavyo tutazama pia jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha siku zote KARIBU Sana TUMA Ujumbe wako kupitia namba 0627107005 kwa msaada zaidi

09/01/2025

Ruhusu MUNGU atawale 2025 usijali kw uliyokosea huko nyuma kubali kufungua ukurasa mpya

08/01/2025

Hakuna usiku usio na asubuhi wapendwa amini
One day yes,,,..
Usikate tamaa MUNGU yupo

07/01/2025

PANGA NAUTAMANI KUWA MSHINDI KILA MARA
Ondoa mtazamo hasi katika akili Yako dhidi Yako amini UNAWEZA ma'ana hao walioweza pia walianza k**a wewe ,kumbuka hata mzazi alianza kuwa mtoto,,.

06/01/2025

HIVI UNNAJUA? UNAWEZA kuwa na Mali , mahusiano mazuri ila Bado ukaishi bila furaha? UJIFUNZE ZAIDI hitaji kuwa KARIBU na MUNGU ,omba hatakuacha siku zote 2,ujifunze kupitia makosa ya watu wengine 3,usiruhusu MATATIZO yautawale moyo wako jua jinsi ya kukabiliana na MATATIZO na mara zote tafuta kushinda katika MATATIZO hayo . Endelea kufatilia UFAHAMU ZAIDI

fahamu ni elimu itakayokufanya utambue thamani Yako na ujifunze namna watu wengine wanavyo tutazama pia jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha siku zote KARIBU Sana TUMA Ujumbe wako kupitia namba 0627107005 kwa msaada zaidi

06/01/2025

TATUA MATATIZO YAKO MWENYEW E, unapopata changamoto mfano HASIRA Nini Cha kufanya 1,pata sehemu tulivu pumzika ,2.kunywa maji 3.shusha pumzi na ivute Tena na Tena 4.tafuta kitu Cha kufanya unachohisi kitakukeep busy au kita kupa furaha hasa kitu ukipendacho mfano sikiliza muziki,kuchezeA Moira n,k

fahamu ni elimu itakayokufanya utambue thamani Yako na ujifunze namna watu wengine wanavyo tutazama pia jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha siku zote KARIBU Sana TUMA Ujumbe wako kupitia namba 0627107005 kwa msaada zaidi

Fahamu zaidi
05/01/2025

Fahamu zaidi

Kabichi ina lishe bora na yenye vitamini C, nyuzinyuzi, na vitamini K. Watafiti wanapendekeza kwamba inaweza kuwa na manufaa ya kiafya ambayo ni pamoja na kusaidia usagaji chakula na afya ya moyo, miongoni mwa mengine.

TAMBUA KUWA HAKUNA ATAkAYEKUJALI IKIWA MWENYEW HUJIJALI,,,,,, hakuna atakayeona mafanikio Yako ikiwa wewe mwenyewe huyao...
05/01/2025

TAMBUA KUWA HAKUNA ATAkAYEKUJALI IKIWA MWENYEW HUJIJALI,,,,,, hakuna atakayeona mafanikio Yako ikiwa wewe mwenyewe huyaoni,na mwisho jipende kabla hujapendwa na wengine

Adresse

Democratic Republic Of The

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Fahamu publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager