عن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم :
( هلك الْمتنطعون . قالها ثلاثا ) رواه مسلم
Markaz Al Hidaayat Goma Majengo/Abu Swafiya
Le centre Islamic Markaz AL hidaayat Goma/Majengo, pour une éducation spirituelle du juste milieu
🌺MKE MWEMA HAJAKINGWA NA MAKOSA🌺*
*إن الـفـتـاة الـصّـالـحـة لـيـسـت معـصـومـة،*
🌹🧊...Hakika ya mke mwema hajakingwa na makosa, baadhi ya wanaume wanadhania kwamba mwanamke akiwa na mcha mungu hakosei, wala awezikufanya jambo la kumuudhi mumewe, lakhasha yeye ni mwanamke kma walivyo wanawake wengine..👇👇
*لڪنَـها إذا ذُڪرت تـذڪرت،
🌹🧊...Lakini hakika yake yeye akikumbushwa hufata ukumbusho*
*وإذا نُـصحـت قبـلـت الـنُـصـح وعـادت عـن خـطـئـها واستـغـفـرت ربـهـا*
🌹🧊...Na akipewa nasaha hukubali nasaha na hujirudi katika makosa yake na humtaka msamaha mola wake."
•┈┈••✾•◆🔮◆•✾••┈┈•
🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa..🌹🌹
Mkabidhi Allah mambo yako na umtegemee utastarehe.
09/07/2024
Pendant que nous autres apprenions le corbeau et le renard.
Les autres...
Toutefois l'un n'empêche pas l'autre...la combinaison est plus meilleure...
Ne mords jamais la main qui te nourrit
لا يلدغ المؤمن من جحر واحد مرتين
KUMBUKA
KUWA KADIRI UNAPO KARIBIYA KUMALIZA SAFARI...
MZIGO UNAO UBEBA UNAZIDI KIWA MZITO
DHWAALIMU NI K**A MCHAWI.
HAWEZI AKAFAULI.
MWISHO WAKE NIKU FELI TU.
*فيا عجبا كيف يعصى الإله…أم كيف يجحده الجاحد*
*وفي كل شيء له آية … تدل على أنه واحد*
N’oublions pas que l’humilité, la gentillesse, ainsi que le SILENCE ne sont pas des faiblesses...
*MARKAZ AL HIDAAYAT GOMA/MAJENGO*
بسم الله الرحمن الرحيم
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
إن شاء الله بعون الله تعالى و وتوفيقه
baada ya harakati za électricité, kesho tutaswalia ijumaaa ya kwanza katika msikiti wetu mpya
ma carreaux na rangi vitatukuta humo inshaallah
allah amlipe kheir kila anaeendelea kuchangia kwa kidogo au kingi katika ujenzi wa nyumba yake
بارك الله فيكم و جزاكم الله خيرا
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Emplacement
Type
Site Web
Adresse
Goma