11/01/2025
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
🛑🛑🛑🛑🛑🛑🛑🛑🛑
🛑{{ Mtume S.w anasema: ATAKAYE WEZA KUMNUFAISHA MWENZAKE BASI AWEZE KUMNUFAISHA }}
bimana atakaye weza kumfaa ndugu yake muislamu Kwa jambo lolote lile la kheri basi amfae kwalo
nihadithi sahihi kutoka Kwa Muslim
🛑Kwahio nawe wafae ndugu zako waislamu kwakuwasambaziya kheri hizi, na jilazimishe kuwa Ukiwasambaziya wenzako elimu za dini kupitiya mitandao hii yakijami, na unuwiye kuwa nisadaka unayojitoleya Kwa ndugu zako waislamu kwakuwanufaisha kunako elimu za dini na utaraji malipo yalomengi kutoka Kwa allah mtukufu, kwakuwa unapo sambaza elimu hizo za dini hujuwi niwangapi wanaonufaika kupitiya wewe kutokana na elimu hizo za dini unazowasambaziya
🛑🛑Kwahio Ndugu Yangu Muslimu Unaombwa kujiunga na kuwaunga ndugu zako waislamu wote na kuwasambaziya pia Link hizi za group na Chanel hizi Za dini, ndugu zako wote wanaofahamu lugha ya kiswahili popote walipo ulimwenguni, hakikisha umewafikishiya kheri izo zakuwatumiya manbo ya dini, na ili nao waweze kujiunga katika Link hizi na Chanel hizi za dini ili kuelimika sote kwapamoja kunako UISLAMU WETU SAHIHI
🛑Tambuwa kuwa ni lazima kwako kusoma dini yako hii ya kiislamu
🛑natambuwa kuwa utaulizwa pia kunako dini yako hii ulojaliwa na Allah pasina juhudi zako zozote zile
🛑🛑🛑 Bi'idhnillah Katika Link hizo na Chanel zote hizo patakuwa pakitumwa ndanimo Darsa za dini , na khutbah za idjuma, na fat'waa, na makala za kielimu, na mihadharah, na vitabu vya kielimu, na vyote hivyo vitakuwa vikitoka Kwa masheikh wa sunnah na wenye itakadi Sahihi, navyote hivyo vitakuwa Kwa mfumo na mnendo wa ufahamu waja wema waliotutanguliya yani (AHLU SUNNATI WAL'JAMAA)