Les enfants de Gitega CMCI Burundi

Les enfants de Gitega CMCI Burundi What shall irender to Jehova for he has done so very much for me Giteg

27/06/2024

wumugisha n'a pasteur zefil

11/04/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ndayikeza Jacques, Ndayishimiye Marie Ange, Jimmy Kelly Igiraneza, Anitha Bukeyeneza Anicho

16/01/2024

Mugirijor ryiza benedata

https://www.facebook.com/100044255632694/posts/848736243278222/?app=fbl
02/09/2023

https://www.facebook.com/100044255632694/posts/848736243278222/?app=fbl

Imebaki siku moja ili kuachilia EP ya SIPIMIWI.

Na itaachiliwa hapa GITEGA 🇧🇮 .

Unaweza kujiuliza kwanini BURUNDI?

Kwanza ni kwasababu Mungu wetu apimiwi na ana namna ya kufanya katika kiwango cha juu sana kuliko tuwazavyo.

Kwahiyo ninayo semina ya siku tatu hapa Burundi na kichwa cha ujumbe wa hizi siku tatu ni SIPIMIWI.

Natoa shukurani kwa kaka yangu Mchungaji Ciza Alexis ambaye na yeye atakuwa anafikisha miaka sita ya uduma yake ya KITU LIFE
Kwakweli amemuona Mungu kwamba hapimiwi, jinsi alivyo mtetea kwa miaka yote hii sita na kumuwezesha kufungua makanisa zaidi ya saba yenye uhai na afya njema. Alexis

Lakini pia wakati natoka Tanzania sikuja peke yangu, nilikuja na mwanangu

UNAWEZA JIULIZA KWANINI KIBONGE?
Unaambiwa hivi unapo funguliwa mlango wa kupita usipite pekeyako, ongoza na wengine wapite wapi. Wape nafasi wajifunze kutoka kwako, tengeneza watu watakao enda badala yako wakati mwingine.
Kwakuwa hata ulipo kuna mtu alitumiwa kukushika mkono - Shika mkono wengine, Kuna mtu alikutambulisha- Tambulisha wengine, JENGA UFALME WENYE NGUVU.

Acha choyo.
Acha ulafi
Hakuna mti usio na matawi.









26/08/2023

MORNING A VOUZ TOUS

20/08/2023

BON DIMANCHE VOUS TOUS

19/08/2023

HELLO Muramez neza mwes week end nziza kur mwes ntimwibagigwe ejo satatu kur beraka na pasteur rèn_enon

DUDU TURAFISIMAN
13/08/2023

DUDU TURAFISIMAN

Address

Stade Ingoma
Gitega

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Les enfants de Gitega CMCI Burundi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Les enfants de Gitega CMCI Burundi:

Shortcuts

Share