Manhaj Salaf Burundi

Manhaj Salaf Burundi القرآن و السنة بفهم سلف الأمة
Qur-aan Sunnah al-Manhaj as-Salaf as-Swaalih

13/03/2026

💥MPYA💥

WAKATI WA KUONDOKA MWEZI WA RAMADHANI UMEFIKA!

🎤Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim (حفظه الله)

https://drive.google.com/drive/folders/1bkPqwGeXxbQa5pCL9KwYTM9wQknFV4d9*🔗 LINK ILIYOKUSANYA AUDIO ZOTE ZA SEMINA YA KIE...
13/02/2026

https://drive.google.com/drive/folders/1bkPqwGeXxbQa5pCL9KwYTM9wQknFV4d9

*🔗 LINK ILIYOKUSANYA AUDIO ZOTE ZA SEMINA YA KIELIMU ZANZIBAR 1447-2026*

*🔰WANAUME*
*🕌MARKAZ IBN UTHAYMEEN MBWENI*

*🔰WANAWAKE*
*🕌MASJID-FAROUQ MKELE*

*•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•*

نسـأل اللــہ ان ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾

18/01/2026
tukisema hayo makundi ya kikhawaarij na wanamgambo kua ni waovu iwe inaeleweka...!!!
18/10/2024

tukisema hayo makundi ya kikhawaarij na wanamgambo kua ni waovu iwe inaeleweka...!!!

*💥💥NADUA NAMBA MBILI  KWA WAISLAMU WOTE SIKU YA IJUMA TATU (LUNDI)* *TAREH 14/10/2024 BAADA YA SALA YA MAGH'RIBI  KWENYE...
13/10/2024

*💥💥NADUA NAMBA MBILI KWA WAISLAMU WOTE SIKU YA IJUMA TATU (LUNDI)*

*TAREH 14/10/2024 BAADA YA SALA YA MAGH'RIBI KWENYE MASJID SALAAM CIBITOKE 12/03:*

TAALIQ YA RISALA:

*📘Misingi ya malezi ya kiislamu*
*(ITIKADI YA KIISLAMU*

🎤MZUNGUMZAJI : SHAYKH Abu Muhsin Minani Abdoullah As-salafiyyu حفظه الله و رعاه

*_NYOTE MNAKARIBISHWA_*

*📥 KUPATA DARASA  ZA SIRA (NUURUL YAQIIN) GUSA LINK 👇🏽*https://drive.google.com/drive/folders/143iDs3-s1k5KqQwcSZM7xFGt-...
03/10/2024

*📥 KUPATA DARASA ZA SIRA (NUURUL YAQIIN) GUSA LINK 👇🏽*
https://drive.google.com/drive/folders/143iDs3-s1k5KqQwcSZM7xFGt-v29iVpQ

*📜 KITABU :*
*📓 SIRA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ*

*🎙️MSOMESHAJI :-*
*SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM* حفظه الله تعالى ورعاه

*Subscribe To Our Telegram Channel*
https://t.me/maahadpongweliveduruus

*Subscribe To Our Youtube Channel*
https://youtube.com/

•┈┈•◈◉✹❒📚❒✹◉◈•┈┈•

نسـأل اللــہ أن ينفــ؏ بهـذا المقـطـ؏ الجميـ؏ 🤲🏾

uwenda hata Maulidi ingelikua Sunnat basi wazushi wasinge ifuata...!!!
15/09/2024

uwenda hata Maulidi ingelikua Sunnat basi wazushi wasinge ifuata...!!!

13/09/2024

"فتبسم النبيُّ ﷺ"/ البخاري 1021
"فضحك النبي ﷺ" / البخاري 1936
"فسكت ﷺ هُنَيهَة" / البخاري 3695
"حزن النبي ﷺ" / البخاري 6982
"فبكى النبيﷺ" / البخاري 1304

نقل الصحابة لنا بسماته، وضحكاته، وسكتاته، وحزنه، وبكاؤه ﷺ

السؤال الذي يطرح نفسه لماذا لم ينقلوا لنا احتفاله بمولدهﷺ.. ؟
نسوا أم منا من ضل الطريق
منقول

Alhamdulillaah kwa hili twatarajia Allaah atulipe ujira mwingi kwa uruma wake.changia na wewe katika kheri hii ya ujenzi...
29/07/2024

Alhamdulillaah kwa hili twatarajia Allaah atulipe ujira mwingi kwa uruma wake.
changia na wewe katika kheri hii ya ujenzi wa kituo/markaz ya Ahlul Sunnat waljamaa Maranvya.
hii ni swadaqa ya kudumu...!

namba za kuchangia kwa waliopo Burundi ni:
1. 68494824 Manirakiza shabani
2. 62873559 Ngendakumana issa

Bishara njema wa Waislam na Wakaazi wa Bujumbura.hii ni Muhim sana kuhudhuria/Kuskiliza, kwa Wanamume na Wanawake.Sehem ...
26/07/2024

Bishara njema wa Waislam na Wakaazi wa Bujumbura.
hii ni Muhim sana kuhudhuria/Kuskiliza, kwa Wanamume na Wanawake.
Sehem ni Muskitini 19/22 Buyenzi.
Mada zitakazo zungumzwa na Masheikh zetu ni Mada muhim zenye kuondosha ukakasi kwa wale ambao walio tatizika.

Allaah atuwafiqishe swote katika anayo yapenda na kuyaridhia.
Baarakallaahu fiykum

Address

Buyenzi

Telephone

+25767678914

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manhaj Salaf Burundi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category