Mwalimu wa Kiswahili

Mwalimu wa Kiswahili

Share

Soma, Ujielimishe!!!

22/03/2026
22/03/2026

Fuatilia 30 days swahili challenge ujifunze kiswahili sanifu. Usikose hata siku moja

SEHEMU YA KWANZA(PART1)

07/03/2026

Weka mifumo yako katika biashara

26/02/2026
27/10/2025

Binti mfalme mwenye kiburi- Hadithi

Photos from Mwalimu wa Kiswahili's post 28/09/2024

Jambo ndugu mpenzi wa Kiswahili . Elewa maana ya baadhi ya wadudu kutoka kirundi kwenda Kiswahili :

1. Akanyegeri: sisimizi
2. Umusiba: daa
3. Igihori: panzi
4. Umubu: mbu
5. Urunyenzi: mende
6. Ivubi: Nyigu
7. Indá: chawa
8. Imbaragasa: kiroboto
9. Igihere: kunguni
10. Intsatsa: kimetameta, kimulimuli
11. Isazi: nzi
12. Inzige: nzige
13. Uruyuki: nyuki
14. Ikinyabwoya: kiwavi
15. Inyongori: jongoo
16. Ubutitiri: utitiri
17. Igitangurirwa: buibui
18. Inyondwi: kupe
19. Ikibugu: ndorobo
20. Irutozi: siafu
21. Imvunja: funza
22. Akaminimini: nge
23. Umuswa: mchwa
24. Igisurira: chungu

Asante ndugu. Baki na si uelimike!

&share✅

25/08/2024
15/08/2024

Je MSICHANA, BINTI, MWANAMKE, MWALI na DEMU tofauti iko wapi kijamii???

Katika jamii ya Dar-es-salaam:

- Msichana ni mtoto wa k**e ambaye hajavunja ungo;

- Binti ni msichana ambaye amekwishavunja ungo. Ila hapa ijulikane kuwa unaweza kumwita mtoto wako wa k**e binti yangu bila kujali umri au ukamwuliza mtu, je huyu ni binti yako?

- Mwanamke ni yule ambaye tayari amejifungua au ana umri mkubwa k**a myaka 40 n’a zaidi.

- Mwali ni msichana ambaye amevunja ungo na anayekaribia kuolewa.

- Demu ni msichana wa kula raha naye tu bila mpango wowote juu yake!

Je, ni upi mchango wako?

ku like, comment n’a share ❤️

Want your school to be the top-listed School/college in Bujumbura?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dubaï
Bujumbura