* SAVERE FAVER AND HARD FLUE! *
_ EMERGENCY SERVICE_
three garlic pieces + ginger half the size of a middle finger = crush or grind well with a blender + use enough water for one and a half cups of tea in a grind + Add an average of a slice of lemon or even a whole lemon + Add a clove of flour a quarter teaspoon of tea = boil together Like tea + Add one teaspoon of honey
Drink all morning and half a glass of MLQ from AICP
YOU WILL DO IT AGAIN DAY AND NIGHT
MORE INFORMATION ASK DR FOR SUNNAH TREATMENT
* _DR. ABU AWADH MSHANA_ *
*HOMA KALI NA MAFUA MAKALI!*
_HUDUMA YA HARAKA_
Punje tatu za kitunguu thaumu+tangawizi ukubwa wa nusu kidole Cha kati= ponda au saga vizuri kwa blenda+ tumia maji kiasi Cha kikombe kimoja na nusu Cha chai katika kusaga+Tia wastani wa kipande Cha ndimu au hata ndimu nzima+Tia karafuu ya unga robo kijiko Cha chai= chemsha pamoja K**a chai+Tia asali kijiko kimoja
Kunywa yote asubuhi na nusu glass ya MLQ kutoka AICP
UTAFANYA TENA HIVYO MCHANA NA USIKU
MAELEZO ZAIDI MUULIZE DR KWA TIBA ZA KISUNNAH
*_DR. ABU AWADH MSHANA_*
Be the first to know and let us send you an email when Dr. Abu Awadh Mshana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.