09/05/2026
ELIMU BORA, MALEZI BORA KWA MUSTAKABALI WA BAADAYE! 🇹🇿🇹🇷
Je, unatafuta elimu yenye mazingira rafiki na malezi ya kipekee kwa ajili ya mwanao? Turkish Maarif Haci Ayse Var School inawatangazia kuwa nafasi za masomo kwa Kidato cha Tano (Form Five) 2026 sasa zipo wazi!
Tahususi (Combinations):
🔹Sayansi: PCM, PCB, CBG.
🔹Arts: HGL, HKL, HGK.
Huduma za ziada:
✅ Programu ya Qur'an.
✅ Mafunzo ya Lugha ya Kituruki.
✅ Mafunzo ya Kompyuta.
✅ Hosteli za kisasa zipo.
Wahi sasa nafasi ni chache!
Masomo yanaanza tarehe: 01/06/2026.
📞 Wasiliana nasi:
+255 778 300 700 / +255 652 553 389